Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Kwahiyo wanafanyaje kupanga familia
Kuna rafiki yangu wa kiume alipanga awe na Watoto wawili kwenye ndoa yake,Lakini Mpaka Sasa ana Watoto sita and they are still young...mambo ya makanisa hayo 🙄
 
Kumwaga chini ni kosa kama kuua
Mwanaume ana damu mbili, damu nyeupe ya uzazi na damu nyekundu ya uhai wake
Damu haichezewi

Zile siku mnapiga kazi bila kupata ujauzito zinahesabiwa dhambi au sio dhambi?
 
Okay nkirudi kwenye mada kumwaga nje, nyeto .. uzazi wa mpango siyo dhambi...
Nyeto ni dhambi mzee...kumbuka mkuu Jesus maneno yake..."ukimtamani tuu mwanamke asiye mke wako tayari umeshazini naye".. kwa hiyo wale wanawake woote mtu anaokuwa ana wa imagine kwenye nyeto...kiroho inahesabika ameshazini nao
 
Nini malengo haswa ya kumwaga

Huyo jamaa alimwaga asizae na huyo mwanamke, kitu ambacho Kwa mujibu wa maandiko, aliagizwa azae na huyo mjane.

Of course mie mwenyewe sitetei kumwaga ila shida yangu ni hapo unapoambiwa hata uzazi wa mpango ni dhambi. Ndio nikauliza, inamaana zinatakiwa zikitoka zisababishe ujauzito tu ndio utakua salama?
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

[emoji15]Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?[emoji1751]

[emoji1752]
 
Sio sisi ni Onani huyo

Onani alipinga agizo la Mungu la kukaidi kuzaa na shemeji halafu watoto wasiwe wako hili ndio tatizo
 
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
[emoji1752]
Mnatafuta Sababu sana🤨
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Yan na ualimu wako umeshindwa kuelewa hapa kosa ni lipi!?
Hapo kosa sio kumwaga nje bali kosa ni kukiuka maagizo makusudi ya kutotaka kuzaa na mke wa nduguye. Kwaiyo hapo Ata kama jamaa angekwepa na kumgonga huyo dem siku ambazo sio za kushika ujauzito makusudi ili asizae nae bado angepata hukumu hyo hyo
 
Oo,🤣 endelea kupiga
 
Ni dhambi hata uzazi wa mpango ni dhambi vile vile
Kwahio hata kufanya tendo wakati ambao sio wa kushika mimba inapaswa iwe dhambi kubwa..

Sitaki kuamini sana kama mambo yanaweza kua jino kwa jino kiasi hicho kwasababu. Hata katika mshindo mmoja wenye mabilioni ya sperms.. ni sperm moja tu hutumika kurutubisha yai.
 
Back
Top Bottom