Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

We jamaa akili zako zina mapengo unaambiwa 2tirl$ unajua ni sh, ngapi kwa madafu?
Unachekesha kweli 2$ tirl haiwezekani.
Hiyo ni sawa na Tsz 5000 tril wakati bajeti ya Tanzania ni 30Tsh tril tu kwa mwaka.
 
Acha kudandia kuandika vitu usivyovijua. Unajaribu kuunganisha vitu visivyo na uhusiano. Stress zitakuumiza bure, mtu mwenyewe bado mtoto wa chuo.
Andika wewe vitu visivyounganisha. Yaan unabisha tu bila kutoa vitu vinavyoeleweka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa nkasi yupo ataongoza kamati zote hizo
Na ndie atakuwa kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na atapewa ofisi nzuri, mshahara mnono na gari lenye plate No. ya KUB. Litawashuka tu mwaka huu.[emoji3][emoji23]
 
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Nyie mlishasusa nendeni mkafanye mambo mengine, hamuwezi kushindana na serikali. Rais ana viti kumi, suseni tutamteua Hashim Rungwe, Dovutwa, Lipumba, Hamad Rashid halafu tuone kama bunge litasimama
 
Mbunge wa Nkasi kupitia Chadema atakua Mwenyekiti wa PAC na yule mama wa CUF, ataongoza kamati ya LAAC. Wajumbe watakua Wana CCM.
 
Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko.Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu.Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta
mapopoma mko wengi....
 
Trilioni 2 za kununulia condoms na vidinge vya uzazi?
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Mkuu hebu nisaidie Tanzania mti mrefu kuliko yote uko wapi na wapatikana sehemu gani hapa Tanzania
 
Ngoma inogile
IMG_20201101_181019.jpeg
 
Back
Top Bottom