Unachekesha kweli 2$ tirl haiwezekani.We jamaa akili zako zina mapengo unaambiwa 2tirl$ unajua ni sh, ngapi kwa madafu?
Hiyo ni sawa na Tsz 5000 tril wakati bajeti ya Tanzania ni 30Tsh tril tu kwa mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachekesha kweli 2$ tirl haiwezekani.We jamaa akili zako zina mapengo unaambiwa 2tirl$ unajua ni sh, ngapi kwa madafu?
Andika wewe vitu visivyounganisha. Yaan unabisha tu bila kutoa vitu vinavyoelewekaAcha kudandia kuandika vitu usivyovijua. Unajaribu kuunganisha vitu visivyo na uhusiano. Stress zitakuumiza bure, mtu mwenyewe bado mtoto wa chuo.
Mabeberu hawanaga rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.Donor countries wanaelewa njama zote.
Tushazikanusha nyie pambaneni pekeyenu bungeniKanusha na hii mkuuView attachment 1622252
Na ndie atakuwa kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na atapewa ofisi nzuri, mshahara mnono na gari lenye plate No. ya KUB. Litawashuka tu mwaka huu.[emoji3][emoji23]Mbunge wa nkasi yupo ataongoza kamati zote hizo
Tushazikanusha nyie pambaneni pekeyenu bungeni
Tumewaachia mtuletee maendeleo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nyie mlishasusa nendeni mkafanye mambo mengine, hamuwezi kushindana na serikali. Rais ana viti kumi, suseni tutamteua Hashim Rungwe, Dovutwa, Lipumba, Hamad Rashid halafu tuone kama bunge litasimamaMtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Nakumbuka Wana CCM wenzie aliowadukua walimwita ' mshamba'.Ujanja mwingi, mbele kiza.
mapopoma mko wengi....Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko.Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu.Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta
Badilisheni hata Katiba uwezo mnao.Mbunge wa Nkasi kupitia Chadema atakua Mwenyekiti wa PAC na yule mama wa CUF, ataongoza kamati ya LAAC. Wajumbe watakua Wana CCM.
Mkuu hebu nisaidie Tanzania mti mrefu kuliko yote uko wapi na wapatikana sehemu gani hapa TanzaniaAnaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Nenda twitter kwenye account ya MnyikaKanusha na hii mkuuView attachment 1622252
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakika,watatengenezwa wapinzani feki ndani ya sekundeMkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
Kwani kazusha nini hapo?Acha uzushi wa kipuuzi sasa.