fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Walishatangaza matokeo ya kura haiwezekani tena hao niwezi wasio na akili?Mkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishatangaza matokeo ya kura haiwezekani tena hao niwezi wasio na akili?Mkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
Na zile nchi zenye tawala za kifalme (mfano Uk, Japan nk) pia ni ziko kwenye full dictatorship au zina utawala wa kidemokrasia???Jiwe= To Everything
Nchi inaingia kwenye Full dictatorship
Mbowe akionyeshwa hela hawezi kuikataa. Jeuri alikuwa nayo wakati CHADEMA inapata ruzuku kubwa ambayo ndiyo ilikuwa inamuendeshea maisha yeye na familia yake. Sasa hivi ruzuku hamna, zile atakazopata kutokana na mke wake kuwa mbunge viti maalumu hazitoshi!Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.
Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
Umenena vyema nduguUsipendelee kufanya jambo la kimaendeleo kwa kutegemea misaada
😁😁😁Inaonekana huyo Mungu wako anamatatizo sana kila mara anashindwa kukubariki!!
Suala la babu yako kushindwa kumpeleka shule vizuri, na baba yako kushindwa kukusimamia katika elimu na maarifa vizuri, sio tatizo letu.Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya
HahahahaAnaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Unapata faida gani ukiutoa uhai wa mwenzako tena mwanachama mwenzio! ? Kumbe mnauana wenyewe kwa wenyewe mkimaliza kuuana mtasema ilikua njama za CCM.Watakayemweka kwamba ni mpinzani tukimjua ama zake ama zetu! Labda wahamishie battalion nzima nyumbani kwake na kwa ndugu zake!
Acha uzushi njaa bado mnayo na ombuomba misaada ndiyo kwanza imezidi mara Dufu CCM ni ile ile ukoo wa panyaNdugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko.Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu.Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta
Hakuna cha saccos ingekuwa ni saccos msingekuwa kutwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso yasiyokwisha msingekuwa mnatumia mabilioni kuihujumu kuidhoofisha chadema, maandamano tarehe 2 wewe nyinyi tarehe 1 siku moja kabla ya maandamano mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema kwa uoga wenu wa kishamba, nani angehamasisha wakati uoga wa Polisiccm umetamalaki? Uchaguzi upi chadema wameshindwa? au ni uchaguzi wako binafsi hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kama ni uchaguzi wa Tanzania nina uhakika chadema waliahinda kwa kura nyingi lakini NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm wakaamua kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi wote kwa njia haramu za kishetaniHahahahahahaha.... yaani nyinyi wanasaccos mnashida sana. Mwanzo mlikuwa mnasema lazima mtashinda uchaguzi baada ya kushindwa mkasema mtaandamana mkashindwa tena sasa mnasema tutakosa 2 trillion za wafadhiri. Haya bwana ngoja tuendelee kuwasikiliza Malalamiko FC!
😂🤣😅😂🤣😅🤣😅 eeeh Tukiona mnatuzingua Wapinzani watakaofungu Kesi za uchaguzi Wa ubunge wrote watashinda Tunapata Wapinzani😂🤣😅😂🤣😅🤣😅 Tena Tunatuma Wa TLP MCCR wakafungue kesi ila Pia Zitto Keshalegezwaa ACT wanakuja bungeniMkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
is interesting kuona baadhi yenu mnafurahia na kushangiria uharamia mlioufanya! hivi kweli huu ni ubinadamu? hivi mngefanyiwa upande wenu mambo kama haya ingekuwaje?😂🤣😅😂🤣😅🤣😅 eeeh Tukiona mnatuzingua Wapinzani watakaofungu Kesi za uchaguzi Wa ubunge wrote watashinda Tunapata Wapinzani😂🤣😅😂🤣😅🤣😅 Tena Tunatuma Wa TLP MCCR wakafungue kesi ila Pia Zitto Keshalegezwaa ACT wanakuja bungeni
Mmmmhhh sio kweliNdugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko.Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu.Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta
Ule msaada alioomba kwa ajili ya athari za korona ni sadaka za wahisani sio..Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko.Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu.Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta