Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

Kuna watu nilikuwa nawaambia hapa yanayoendelea Kenya kiuchumi yanakuja mpaka hapa ,hii credit crunch ni real ,na sio utani , na ukumbuke madeni yetu mengi inabidi yalipwe kwa USD ,sasa ndio mkianza kuambiwa mshahara hamna mtajua jinsi serious hii kitu ipo
 
Kwamba tusimcheke Mamba..........

Hata tukisema tugeukie pesa nyingine mfano Yuan, bado tutahitaji fanya biashara na China ili tupate Yuan.

Kwa ufupi miradi mikubwa mingi inatakiwa isimame kwanza au .......
 
Mbona muda mrefu
 
Mmhh ok!! Hii hali imetoka na nini hasa? Maana nimeona leo pia Treasure wa Marekani akiinyo Serikali kiwa wasipokuwa makini hawatukiwa na CashView attachment 2607755
Si benki kuu ya Marekani federal reserve wamepandisha interest rate ? , hivyo uhaba wa cash ni lazima ,na wanazidi kuipandisha ili kupambana na mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…