Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale jamaa 800 juzi juzi walikuwa na FEDHA YA NYUMBANI ati!Duuu
Kwani Tanzania ipo sayari ya Mars? Ama tupo pluto?Sisi twaongelea maswala ya Tz wewe waongelea dunia nzima.
lo sasa sijui kwakwelMmhh ok!! Hii hali imetoka na nini hasa? Maana nimeona leo pia Treasure wa Marekani akiinyo Serikali kiwa wasipokuwa makini hawatukiwa na CashView attachment 2607755
Hao ndio wale wale wanaotudanganyaga ety tatizo la ajira ni la dunia nzima na sio tanzania pekeeSisi twaongelea maswala ya Tz wewe waongelea dunia nzima.
BRICS ni Simba wa kuchorwa kwa picha tu.Tishio la.BRICS ama?
Kwamba tusimcheke Mamba..........Kuna watu nilikuwa nawaambia hapa yanayoendelea Kenya kiuchumi yanakuja mpaka hapa ,hii credit crunch ni real ,na sio utani , na ukumbuke madeni yetu mengi inabidi yalipwe kwa USD ,sasa ndio mkianza kuambiwa mshahara hamna mtajua jinsi serious hii kitu ipo
Sina uhakika kama una ufahamu wa kutosha juu ya hii kitu inayoitwa BRICS. Na utakuwa unatazama sana habari za BBC, Sky News, CNN, na hizo media za kimagharibi ambazo kutwa kazi yao ni kupotosha.BRICS ni Simba wa kuchorwa kwa picha tu.
Ni takataka aisee.Wakati huo huo tuliwapa Uturuki dollar milioni moja na Malawi pia tuuka wapa..
Hatuna viongozi aisee.
Fedha za NdaniHii miradi mikubwa ya nchi inalipwa kwa USD au Tshs?
BRICS ni China, wengine wote wasindikazaji tu. Huo ni umoja bosheni kama AU.Sina uhakika kama una ufahamu wa kutosha juu ya hii kitu inayoitwa BRICS. Na utakuwa unatazama sana habari za BBC, Sky News, CNN, na hizo media za kimagharibi ambazo kutwa kazi yao ni kupotosha.
Mbona muda mrefuHuko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo!
Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini?
Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko palepale ikiwa kuna uhaba wa dola kiasi hiki?
View attachment 2607741
View attachment 2607742
Pepo ya majuha.... ( riwaya ya Dr mwakyembe akiwa jalalani UDSM)Sisi twaongelea maswala ya Tz wewe waongelea dunia nzima.
Unaujua uchumi wa India au Brazili? We mjinga India kwa sasa ni ya 5 kama sio ya nne kwa uchumi mkubwa, inapitwa na USA, China, Japani, na Ujerumani basiBRICS ni China, wengine wote wasindikazaji tu. Huo ni umoja bosheni kama AU.
Si benki kuu ya Marekani federal reserve wamepandisha interest rate ? , hivyo uhaba wa cash ni lazima ,na wanazidi kuipandisha ili kupambana na mfumuko wa beiMmhh ok!! Hii hali imetoka na nini hasa? Maana nimeona leo pia Treasure wa Marekani akiinyo Serikali kiwa wasipokuwa makini hawatukiwa na CashView attachment 2607755