ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wanataka waache kutumia Dola ,mbona India na Russia wanauziana mafuta bila Kutumika Dola? Labda watakwama kama wakitaka bidhaa zingine Nje ya Nchi zao watalazimika tena kutafuta Dola.Mimi naongelea mashiko ya huo muunganiko. Wameungana kujitutumua tu na kupiga picha, hata haiweleki nini wanafanya, wananufaikaje nao au wanasimamia nini.
Kwani wewe unaona ni swala la Tzn pekee? Nchi ngapi Zina shida hii?Halafu nyie machawa huwa mnapenda kujificha sana kwenye kichaka cha swala la dunia
Sina uhakika kama una ufahamu wa kutosha juu ya hii kitu inayoitwa BRICS. Na utakuwa unatazama sana habari za BBC, Sky News, CNN, na hizo media za kimagharibi ambazo kutwa kazi yao ni kupotosha.
Wanataka waache kutumia Dola ,mbona India na Russia wanauziana mafuta bila Kutumika Dola? Labda watakwama kama wakitaka bidhaa zingine Nje ya Nchi zao watalazimika tena kutafuta Dola.
Eeeh tuambie impact ya Dola nini ikiwa haipo kwa wingi kwa nchi yetu.Unafungua nchi mpaka dolal inapotea[emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka kufanyia nini hzo Dola?CRDB benki tangu mwezi wa 1 dola zinasumbua.
Nchi za Asia asilimia kubwa zinatumia local currencies. Sisi maskini Africa ndo bado tunapambana na dollar, tulikua tunawaaambia Russia na nchi nyingi zimeipiga chini dollar haya ndo matokea naona US hana habari na kuprint pesa [emoji23][emoji23]
Eeeh tuambie impact ya Dola nini ikiwa haipo kwa wingi kwa nchi yetu.
Hata hizo nchi ulizozitaja zina reserve za kutosha za USD, achilia mbali uwekezaji waliofanya ama serikali zao ama matycoon wao wote upo katika usd.
Leo hata hao suppliers wa china sijui india wanakomaa walipwe kwa dollar. Hawataki kusikia kbs habar za currency za nchi zao.
Ila kinachoshangaza bongo ni exchange rate. Naona mamlaka imeamua kuifix/peg.
Athari zake ni kubwa sana, ikiwamo black markets, wananchi kuitilia shaka financial system na watu ku hold hard cash in usd bila kuziweka kwenye mifumo rasmi.
1. Tunaweza kushindwa kulipa mikopo yetu ambayo mingi ipo katika sarafu ya usd
2. Upande wa biashara hasa kwenye kuagiza bidhaa nje itatuwia ugumu.
3. Mashaka ya uchumi wetu hasa kwa wawekezaji.
4. Masoko ya mchongo, maana haipekiki usd, mamlaka zitashindwa kudhibiti mfumo wa fedha hivyo kukosa kuaminiwa.
5. Mfumuko wa bei na riba kuongezeka. Riba kuingezeka ili kuwavutia wawezeji kuweka fedha zao huku, lakini kwa wakopaji ikawa kilio.
Nachotaka kujua hii hali imesababishwa na nini?
Mataifa wanao import zaidi kuliko ku export watapata tabu sana kipindi hiki Fed wakifanya yao kupambana na Inflation.
Bado wengine wana mizigo ya madeni ya kulipa kwa dola!
Hatuuzi nje na pia tunanunua sana toka njeEeeh! Kumbe mambo ndivyo yalivyo? Sasa hii manaake ni nini? Watalii wamepungua? Au nini hasa kinatokea mpaka USD hiwe adimu?