Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

Nini maana ya siempre mheshimiwa
 
Hawakukosea waliokuona punguani.
Habari hii hapa chini niliiandika hapa Jukwaani 04/04/2018.
===
===
Mzee Yoda wewe endelea kurukaruka!!!
 
Sina uhakika kama una ufahamu wa kutosha juu ya hii kitu inayoitwa BRICS. Na utakuwa unatazama sana habari za BBC, Sky News, CNN, na hizo media za kimagharibi ambazo kutwa kazi yao ni kupotosha.
Mtata huyooo,,,,,majibu anayo hataki kufunguka anaona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu watakuja kusema tuhifadhi Rubu na Yuan nyingi zaidi wasijue unahitaji dola kununua magari Japan na mafuta kutoka India au Uarabuni.
Hatuhitaji dola kununua mafuta toka India.

We jamaa weweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uhaba wa dollar na kukua Kwa uchumi ni vitu viwili tofauti
Uwezi sema uchumi umekuwa halafu huna Dollar, Ina maana nchi haiuzi bidhaa nje bali nchi inanunua Sana bidhaa toka nje, hivyo Basi nchi yetu ipo katika Hali ya kufilisika. Ndio maana Magufuli alisisitiza uchumi wa viwanda. Hivi Kuna tajiri asiye na hela ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
.
 
Wema hawana maisha.

Pumzika Kwa Amani Mtume Magufuli.
 
Dollar inakwenda kupoteza thamani yake kama reserve currency ya Dunia. Kibano cha sasa kimewabana wamarekani kuchapisha Dollar na kuzimwaga hovyo Duniani, imewapasa kuzungusha ile iliyoko kwenye mzunguko na kuongeza interest rate.
Dollar inakwenda kuadimika na kupoteza thamani, hata ukiipata na kuificha haitakuwa na thamani ile yuliyoizoea.
BOT amkeni.... Anzeni kuhifadhi dhahabu ya kutosha, siku zijazo kutakuwa na dhoruba kali kwenye soko la fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…