MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Inategemeana na PHD ya nini; Huenda jamaa Alisoma Masters na Phd Kwa sifa, Akachagua Kozi mbovu mbovu; Sasa ikawa ngumu kupata mahali; ikabidi Ajishikize Chamani.Duh PhD mshahara laki 5
Elimu haina shida, attitude za watu ndio shida..! Elimu hii hii imesaidia nchi zilizokuwa masikini Kama Korea, Singapore zimekuwa modernized, iweje kwetu tu iwe shida?Elimu ya mkoloni inaweza kumfanya mtu kuwa mtumwa kabisa.
Hata Kama Ni ya kitu gani aisee, PhD kubwa sana kulipwa huo mshaharaPhD uchwara hiyo, alikuwa Makao Makuu CCM kwa kazi gani kama hajasomea utopolo?
Bila shaka ndo hawa vibwengo wanashinda mitandaoni kutetea chama.
Yeah tupoInawezekana,kijana alikubali hiyo kazi alijua ni mapito tu,ipo siku atatoka.Siku hizi wenye PhD wapo kibao.
Mzee kwani laki tano huwezi kununua suti?500,000/2,318=USD216. Yaani akifunga kula mwaka mzima, atasevu USD261x12 = 2,592! Uongo huo. Amenunuaje hiyo suit? Utakuta kajenga jumba sehemu hapa Dar. Vinginevyo atakuwa mwizi.
Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu
Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu Kama Hawa wapo
View attachment 1508536
Hata Kama Ni ya kitu gani aisee, PhD kubwa sana kulipwa huo mshahara
Toka raisi aingie madarakani nimefatilia sana ,mpaka leo akiongea kati ya kumi nachukua matatu saba yote uongo.Magufuli ni muongo sana tena sana ili kuwapumbaza wananchi ndoo lengo lake.Mtu yeyote anaependa sifa huwa ni muongo sana ili asifiwe.Kwa hiyo hautaki au?
Inamaana presdaa anaweza kuudanganya umma kindenzi namna hiyo?
Haya! Na waliokuwa wakiulizwa nao waliwekewa majibu midomoni mwao, kwa faida ya nani?
Namimi nimehisi huyo jamaa bila shaka atakuwa either USSR , Kawe Alumni , au wale mataga wengine wanaoshinda pale lumumba kazi yao kutujazia tu server zetu za JF na posts/comments zao za kumsifu na kumuabudu mungujiwe. Kumbe besides buku7 wana mshahara pia wa laki5?PhD uchwara hiyo, alikuwa Makao Makuu CCM kwa kazi gani kama hajasomea utopolo?
Bila shaka ndo hawa vibwengo wanashinda mitandaoni kutetea chama.
Posho shilingi ngapi?Kwa usanii hao jamaa hutawaweza.
Hio yote ni kukwambia shukuru kwa ulicho nacho huku nyie mlioko serikalini mkipewa ujumbe wa mnalalamika nini na vi diploma/degree zenu wkt huku Chamani kuna watu wana PH.d na wanalipwa laki 5 tu.
Itakuwa theology hiyo. Wanazipata hata ambao hawajafika sekondari.Inategemeana na PHD ya nini; Huenda jamaa Alisoma Masters na Phd Kwa sifa, Akachagua Kozi mbovu mbovu; Sasa ikawa ngumu kupata mahali; ikabidi Ajishikize Chamani.
nadhani kusema PHD tu haitoshi
Naomba nimtetee jamaa ana PhD ya political science in lawPhD uchwara hiyo, alikuwa Makao Makuu CCM kwa kazi gani kama hajasomea utopolo?
Bila shaka ndo hawa vibwengo wanashinda mitandaoni kutetea chama.