Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Mkiambiwa ndoa sio kunyanduana tu muelewe.. ndio mana inatakiwa uoe rafk ako yan mke au mume ndan ya ndoa awe rafk yako mana kuna muda akili haiitaj mke wala mume lakn wote mnaish nyumba moja inabak ushkja n kupga stor za kuwasema watu kuwaza maendeleo ambayo hamna yan kam mko kijiwen apo mnaweza kaa hata wik mbil amjakulanasku mood uikrud ya ndoa mnakua na filing kama zote hata kama mnapta kwenye kpnd kgum jadiliana namwenzio kama rafk shika hata smu yake mshawsh amkope hata rafk ake unaeona ananafuu yakimaisha apo mtavuka bila shida na kuja kukaa sawa sasa ww jikute ndio wa kwanza kuoa toka ilo agano lipte kila ktu unachukulia siriaz kwenye ndoa kila ktu unawaza ww tu utazeeka kabla ya mshenga wako😂
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi,nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba k.......m......m......k yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu naenda kujichoma moto wakuu
Actually kwa umri huo kuoa sio dhambi .
Ila najikuta nacheka kwa yanayokukuta .
Ukome kuiga watu ili eti jamii ikuheshimu kuwa sasa na wewe una familia .

Pole bana , sema nini elezea tatizo ni nini ili tutiririke.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Taratibu mkuu!

Shida ni majukumu au shida ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi?

Haukua na majukumu kabla ya ndoa? Haukutegemea kua na majukumu baada ya ndoa? Haukutegemea kwamba kutakua na kushirikishana mambo yanayohusu familia?

Unataka kuishi maisha ya mtu alie single wakati uko ndani ya ndoa? Ulilazimishwa kuoa? Ulikua unawahi nini kuoa wakati bado haujakomaa kiakili? Ulidhani kuoa ni kupata papuchi ya bure tu kila siku?

Umekuja huku kutafuta sababu ya kumkimbia mkeo na kukwepa majumu? Ulitegemea tutakuunga mkono katika hilo?

Tulia na mkeo na upambane na majukumu kiazi wewe!
 
Umekutana na mbunye kwa mara ya kwanza umepagawa na ndoa juu, kula maisha, furahia uumbaji, maliza yote ndiyo unaingia katika hiyo changamoto ya ndoa!,..magwiji tunafurahia ndoa.
 
Tukunusuru? Unataka tukusaidie kumgegeda mkeo? Toa location.
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi,nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba k.......m......m......k yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu naenda kujichoma moto wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kwa kuwauliza wazazi wako, walifanyaje wao?
 
Madhara ya kuoa kwa sababu kichupa kimejaa ndiyo kama haya.

Ndoa ina week mbili kijana analia lia,hizo wiki mbili unazolalamika mimi nilikuwa bado fungate wewe unaonekana hukujipanga ulioa ili kumaliza haja zako za mwili sasa zimekuisha akili imerudi ndiyo unaona makosa yako
 
Utaniachia simu na chaji na namba ya mkeo boss afu uka jichome jalalani ili watu wajue n takataka znaungua
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi,nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba k.......m......m......k yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu naenda kujichoma moto wakuu
Shida huna hela.
 
Madhara ya kuoa kwa sababu kichupa kimejaa ndiyo kama haya.

Ndoa ina week mbili kijana analia lia,hizo wiki mbili unazolalamika mimi nilikuwa bado fungate wewe unaonekana hukujipanga ulioa ili kumaliza haja zako za mwili sasa zimekuisha akili imerudi ndiyo unaona makosa yako
Kijana akishakuwa na Sabufa na Kitanda anajiona ka win
 
Back
Top Bottom