Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Ulitumwa na nani!?,umewahi kuishi mwezi mmoja au miwili mfululizo na uliyemuoa kabla hamjaoana!?, Au mlikuwa mnaviziana mpewe baraka za kijinga na jamii!?, Tatizo la ndoa linaanzia pale mnapopanga kuoana kwa kuiridhisha jamii na mbwembwe nyingi. Ila ukiishi na mtu bila masharti na mikakati mingi ya ndoa au msukumo kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki mnaishi vizuri tu tena kwa muda usiojulikana. Ila mkianza mipango ya ndoa ikawa mingi ndo tatizo linapoanzia. Miaka 27 ulikuwa unawahi nini!?.., kama unaishi kijijini ni sawa hata ukiwa na miaka 23 tu. Ila kama ni msomi na upo town 27 unajitafutia matatizo. Muda sio mrefu utaanza kulaumu wazazi, ndugu na jamaa, baadae serikali mwisho kabisa utaanza kuilaumu CCM, nawaona humu kila lawama ni kwa CCM🤣
Acha fix wewe..nimeoa nikiwa 25 years niko mjini tena msomi halaf nilikua bado najitafuta..nina mwaka wa 10 huu kwenye ndoa
 
Mkiambiwa ndoa sio kunyanduana tu muelewe.. ndio mana inatakiwa uoe rafk ako yan mke au mume ndan ya ndoa awe rafk yako mana kuna muda akili haiitaj mke wala mume lakn wote mnaish nyumba moja inabak ushkja n kupga stor za kuwasema watu kuwaza maendeleo ambayo hamna yan kam mko kijiwen apo mnaweza kaa hata wik mbil amjakulanasku mood uikrud ya ndoa mnakua na filing kama zote hata kama mnapta kwenye kpnd kgum jadiliana namwenzio kama rafk shika hata smu yake mshawsh amkope hata rafk ake unaeona ananafuu yakimaisha apo mtavuka bila shida na kuja kukaa sawa sasa ww jikute ndio wa kwanza kuoa toka ilo agano lipte kila ktu unachukulia siriaz kwenye ndoa kila ktu unawaza ww tu utazeeka kabla ya mshenga wako😂
Mkuu hapa naona una hoja nzito nzito Sana unatakiwa kusikilizwa kwa umakini sana
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Kama unapendana na huyo mtu sioni shida ni nn! Mbona ni rahisi tu kwani ukimshirikiaha kwenye vitu vinavyohusu maendeleo ya familia yenu utapungukiwa na nn mkuu?
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Komaa wewe acha kulialia, jikaze..
 
Mkiambiwa ndoa sio kunyanduana tu muelewe.. ndio mana inatakiwa uoe rafk ako yan mke au mume ndan ya ndoa awe rafk yako mana kuna muda akili haiitaj mke wala mume lakn...
😂😂😂 umenikosha sana na kiukwel wewe umeongea ukwel ambao % ndio mambo yunafanya tulio wengi..hapo kwenye kukopa hapo umenichekesha sana mkuu....
 
Back
Top Bottom