Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuuu

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Ukitaka kuoa hakikisha utoto na ujana umemaliza. Uwe tayari kuwa kichwa cha familia.
 
Kwakweli wanaolalamika hivii unakuta hamjui mwenza wake vizuri
emoji23.png
Yani mtu mnakutaa geto mnakaa masaa kadhaa kila mtu anakula chake na hapo mahusiano hayana hata miaka miwili afu mnatangza ndoa
emoji23.png
emoji174.png
Hii kitu ndo inawatesa wengi em juaneni kwanza pangeni mambo yenu vizuri jua hasira ya mwenzio ipo wapi ndo hayo humjui mtu vizuri afu unafunga nae ndoa kumbe mwenzio akiwa na hasira analia
emoji1787.png
emoji1787.png
jamani em juaneni vizuri ili hizi mambo zisiwepo ishi na mwenza wako hata miez 6 tuu umjue

Kwakweli wanaolalamika hivii unakuta hamjui mwenza wake vizuri[emoji23] Yani mtu mnakutaa geto mnakaa masaa kadhaa kila mtu anakula chake na hapo mahusiano hayana hata miaka miwili afu mnatangza ndoa[emoji23][emoji174] Hii kitu ndo inawatesa wengi em juaneni kwanza pangeni mambo yenu vizuri jua hasira ya mwenzio ipo wapi ndo hayo humjui mtu vizuri afu unafunga nae ndoa kumbe mwenzio akiwa na hasira analia[emoji1787][emoji1787] jamani em juaneni vizuri ili hizi mambo zisiwepo ishi na mwenza wako hata miez 6 tuu umjue vizuri
Mimi niliishi na wa kwangu mwaka mmoja ndio tukafunga ndoa lakini vituko vilianza baada ya miaka 2 ya ndoa. Ni kuomba kupata mwenza sahihi la sivyo hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Back
Top Bottom