Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

nadhani jamaa alioa kwa sababu ya maneno ya watu au mazingira

mfano kwa sasa nipo GEITA ,ila nmekuta utaratibutofaut kidgo,yaan huku kijana akifikisha miaka 24+ na hajaoa anaonekana wa ajabu

wengine wanafikia hatua ya kukutania "hakaamki"

ila kudadek singo maza ni weng
kinoma ,

ukimuuliza anakwambia "nliona nitafute mwanaume wa kuzaa naye maana walikuw wananisema sana"
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Nadhani uvumilie tu hadi ufikishe umri wa miaka 32 ndiyo utaanza kuelewa kama hayo siyo mateso ila ndiyo sehemu ya mahaba yenyewe ya ndoa.

Kwa sasa bado unasumbuliwa na tabia ya ubinafsi ambayo mara nyingi wavulana wenye umri kama wako huwa wako hivyo na kupenda kupiga piga wanawake.

Kwa hiyo vumilia hadi ukue, ili uvulana ukutoke.

Ova
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
Olewa.
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Kwan umeshapata wa kukutoa upwiruu
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
Watu wengi uingia kwenye ndoa kwa mihemuko ya mwili kwamba utakuwa unapiga kila siku, kumbe lile shimo linachosha Sana ukikaa nalo 24/7 unatamani umupe mtu mwingine uondoke haraka. Ndo maana unakuta jamaa ana mke mzuri Sana kwa nje mwonekano lakini jamaa keshamuchoka anatamani amugawiye mtu mwingine aondoke katika mazingira yale. Kuowa kwa sababu ya kudindisha Ni kosa la jinai, utakuta wasomi wengi anamaliza degree yake anaoa mara nyingi unakuta hakuna maendeleo pale akijitahidi atajenga kajumba na kagari ndo mwisho wa michezo, wanawake wanawarudisha sana nyuma kimaendeleo kila kitu lazima ueleze mke wako hata kama Ni mipango ya dili. Wengine ambao unakuta ana maendeleo Sana ni kwa sababu ya wizi uko makazini. Hivyo kuoa kwa Sababu ya kuwa na uchi masaa yote Ni kitanzi Cha maendeleo yako mwenyewe.
 
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.

Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.

Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
Maadam umeomba msaada nitakusaidia.
Mlete shem akae kae kwangu hata wiki, nina chumba cha wageni.

Halafu wewe uwe huru kwanza
 
Back
Top Bottom