kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Nadhani uvumilie tu hadi ufikishe umri wa miaka 32 ndiyo utaanza kuelewa kama hayo siyo mateso ila ndiyo sehemu ya mahaba yenyewe ya ndoa.Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu
Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.
Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Olewa.Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.
Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.
Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
Kwan umeshapata wa kukutoa upwiruuHivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu
Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.
Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu
Watu wengi uingia kwenye ndoa kwa mihemuko ya mwili kwamba utakuwa unapiga kila siku, kumbe lile shimo linachosha Sana ukikaa nalo 24/7 unatamani umupe mtu mwingine uondoke haraka. Ndo maana unakuta jamaa ana mke mzuri Sana kwa nje mwonekano lakini jamaa keshamuchoka anatamani amugawiye mtu mwingine aondoke katika mazingira yale. Kuowa kwa sababu ya kudindisha Ni kosa la jinai, utakuta wasomi wengi anamaliza degree yake anaoa mara nyingi unakuta hakuna maendeleo pale akijitahidi atajenga kajumba na kagari ndo mwisho wa michezo, wanawake wanawarudisha sana nyuma kimaendeleo kila kitu lazima ueleze mke wako hata kama Ni mipango ya dili. Wengine ambao unakuta ana maendeleo Sana ni kwa sababu ya wizi uko makazini. Hivyo kuoa kwa Sababu ya kuwa na uchi masaa yote Ni kitanzi Cha maendeleo yako mwenyewe.Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.
Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.
Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
Maadam umeomba msaada nitakusaidia.Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu.
Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote kwenye nyumba yaani hapa nipo hoi bin taabani fanyeni wana wajamii forum mninusuru mambo sio poa niko chupli chupli mambo yamekwama wakuu.
Ndiyo kwanza nina miaka 27 yaani naona mambo yamenielemea majukumu yanakuwa mengi sana na wakuu naombeni msaada wenu.
We unadhani unaweza msaidia,?Itamsaidia kweli?
HasaidikiWe unadhani unaweza msaidia,?
NAKAZIANdoa haijaribiwi mkuu.
You were supposed to be financially, emotionally & pyschologically prepared before marrying.
Amesema mama yakoMrudishie huyo mtoto wake
Dogo hana hela alizoea kutumia 3900 per day,dasa akitoa mwekundu chenji hairudiKwani kwenye mahusiano ilikuwaje? Hamkuwa mkishirikishana mambo yenu?
Wenzetu mnadate vipi
🤣🤣🤣🤭Kama umemshindwa mkeo mkabidhi kwa watu binafsi kama serikali yako inavyofanya
Mbona unacheka mchumba 😄🤣🤣🤣🤭
Apambane tu😁Hasaidiki