Patandi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 420
- 397
Mwenye macho haambiwi tazama. Channel ilikuwa live wenye mamlaka bila shaka waliona labda kama wanayakubali yaliyokuwa yakioneshwa.Ni wajibu wako kuifikishia taarifa Mamlaka unayoituhumu kutochukua hatua. Kwa mfano bora ungepeleka taarifa Polisi ukasema TV fulani walionyesha kwenye channel fulani saa fulani picha za maudhui mabaya. Kama hatua haikuchukuliwa hapo ndipo unaweza kuilalamikia Mamlaka hiyo. Kulalamika hapa kwenye JF hakusaidii sana.