Kumbe kwa kina ndoa kuna kuchapana mijeledi kama shule na hamsemi

Ni karne hii ndio haya hayapo ila miaka hiyo ya baada ya ukoloni haya mambo yalikuwepo mpaka watu wanafia ndoa hawaoni shida. Na wengine walikuwa wanafanyiwa zaidi ya hilo unaloona hapo na waliendelea kuwepo ndoani.
Kulikuwa na sababu nyingi zilizowafanya wavumilie mateso hayo na nina uhakika upendo haukuwa moja ya sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…