Kumbe kwa kina ndoa kuna kuchapana mijeledi kama shule na hamsemi

Mtu ukiona ameanza kuchepuka sio wako tena, kuendelea kuwa nae ni kulazimisha yasiyowezekana

Hii ina apply kwa mwanamke! Mwanaume anaweza chepuka na akaendelea kuwa wako ..🤪🤪🤪
 
Eeh hapo kumekucha bana 😂😂 mwenzio anasema "ndoa ni shule" lakini hii inaonekana kama shule ya kujifunza kukimbia! Hata mimi naona ni igizo la kufurahisha tu, ila kweli ndoa ni shule ya uvumilivu, wengine wanapewa cheti cha kufa moyo tu 😂
 
Nadhani hilo ni igizo,, mimi bado hujanichapa hivyo eti kisa ndoa.
Kuchapwa utachapwa tu ila haiwezi kuwa kwa mpangilio hivyo.
Mijeledi ya kwenye ndoa unachapwa huku mnakimbizana na mwenzako anakwepa maframpeni na masufuria.
Anayezidiwa ndiyo anachapika mpaka aokolewe na majirani
 
Eeh hapo kumekucha bana 😂😂 mwenzio anasema "ndoa ni shule" lakini hii inaonekana kama shule ya kujifunza kukimbia! Hata mimi naona ni igizo la kufurahisha tu, ila kweli ndoa ni shule ya uvumilivu, wengine wanapewa cheti cha kufa moyo tu 😂
Ndio uvumilie hadi fimbo
 
Kuchapwa utachapwa tu ila haiwezi kuwa kwa mpangilio hivyo.
Mijeledi ya kwenye ndoa unachapwa huku mnakimbizana na mwenzako anakwepa maframpeni na masufuria.
Anayezidiwa ndiyo anachapika mpaka aokolewe na majirani
🤣🤣🤣 Utakuja kuua mtu shauri yako.
 
Umekaa unachapwa tena unapeleka mkono mwenyewe..
Thubutuuuuuu
 
Back
Top Bottom