Kumbe kwa kina ndoa kuna kuchapana mijeledi kama shule na hamsemi

Niaje, hahaha mkuu huu uzi umechekesha sana 😂😂 nimekaa nikitazama video nacheka peke yangu. Kumbe ndoa sasa imekuwa shule ya kujifunza kuumia? Cheti cha ndoa sasa ni kama cheti cha kumaliza shule ya mateso 🤣 Lakn kwa kweli binafsi nashangaa watu wanaweza kubeba hivyo. Mimi nikiona huyo kijana amekaa tu kimya anachapwa, naona kama ni igizo kweli. Mwanaume wa kweli hata akose, kuna mipaka. Lakn kila nyumba ina mambo yake, sisi tuache watu waendelee na elimu yao ya ndoa huko 😁
 
Swali lingine ninalojiuliza, wali record ili iweje?
 
Hayo ni maigizo
Uhalisia ni huu hapa

1786835027163.png
 
Maigizo hayo!
Nadhani hilo ni igizo,, mimi bado hujanichapa hivyo eti kisa ndoa.

Maigizo hayo, content creators wanataka mijadala watuchukulie mabando. Angepigwa kiboko kimoja tuu cha ukweli angekimbia hapo. 😊☺️
 
Back
Top Bottom