Kumbe mafuta nayotumia kwenye gari ni sawa na ningekua napanda bodaboda!!

Pumbavu, umesoma lakin title ya maada?

Uzi unazungumzia gharama za mafuta.

Yes. Nafanya kazi siku zote, 7 days a week. 365 days a year. Non stop.

Biashara yangu inaniweka mjini.
 
sisi wa Toyota coaster na 1Hz au 14B hapa hatutakiwi kabisaaa
 
ni kipimo kikubwa cha maendeleo,ikiwemo kujenga nyumba yako,kama ni mfanyakazi,kuanzisha biashara nyingine ya kuongeza kipato,nl,NB;hiyo ni kwa watu wa kipato cha chini,kwa nyie matajiri sio kipimo halisi cha kupiga hatua..
 
kirkuu 4 wheel manual ni nzuri zaidi bei poa
 
Mkuu acha kejeli. Hapa Tanzania kula chakula tu watu wengi ni mtihani mkubwa. Mtu mwenye uwezo wa kumiliki gari ni tajiri wala sio masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…