Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mahakama ya ICC inasaidia sana kutunza amani Afrika
Raila Odinga, mgombea urais katika uchaguzi wa Kenya uliopita amekiri aliogopa kushtakiwa ICC ndio maana hakuleta vurugu awamu hii
ICC imekuwa ikilaumiwa kuwa inawaonea viongozi wa Afrika kwani ndio wamekuwa wakishtakiwa huko tu, japo hili sio kweli pia kwani kuna viongozi wengi wazungu hasa kutoka kwenye vita ya Bosnia, Serbia na Yugoslavia wamepelekwa na kuhukumiwa na ICC