Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kufunguliwa kesi ICC tayari ni doa hata kama ukishindaSiasa tu hizo, kama ule uchaguzi wa 2007 baada ya zile vurugu waliwavuruga wale mashahidi waliotakiwa kwenda kutoa ushahidi huko ICC wakapotea, sioni kitu gani kingemshinda kufanya hivyo this time kama angepelekwa huko.
Mimi naamini Odinga alikubali matokeo kwasababu aliona aibu, kuanzisha fujo wakati mahakama nayo imetoa majibu ya kumpa ushindi mwenzako ingekuwa kazi ngumu sana, werevu wangemuona hajielewi.
ICC inasaidia sana AfricaUS ilitaka kuiwekea vikwazo ICC na UN waliposogeza pua kuhusu uvamizi na mauaji ya raia Iraq na Afghanistan!