Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Sisi Tunaishi kwenye 3rd Dimension Mkuu Ukiwa Kwenye 11 au 12 Dimension Huyo Malaika na Ni mtu anayejitambua sana yaani kama Akiwepo kwa Dunia Ya Sasa Bhasi watamuita mtume au Nabii au hata Wengine watampa Majina matakatifu sana
 
Kujiona unahatia/Dhambi ndio jambo kubwa linaloshikiria consciousness ya watu wengi.

Dhambi haipo kabisa kwa watu wenye ufahamu wa juu.
Dah We Jamaa Leo umenifurahisha Sana..

Katika Comments Zote nilitamani Niione Hii Comment Sasa Nimeiona Na Nitalala...
Nakuahidi Nitakutumia Vocha hata ya 5000 Upate GB 1 angalau
 
Sisi Tunaishi kwenye 3rd Dimension Mkuu Ukiwa Kwenye 11 au 12 Dimension Huyo Malaika na Ni mtu anayejitambua sana yaani kama Akiwepo kwa Dunia Ya Sasa Bhasi watamuita mtume au Nabii au hata Wengine watampa Majina matakatifu sana
Ahsante mkuu kwa kunisahihsha.. je unaweza kupendekeza vitabu vinavyohusu haya mambo, natanguliza shukrani..!
 
Ahsante mkuu kwa kunisahihsha.. je unaweza kupendekeza vitabu vinavyohusu haya mambo, natanguliza shukrani..!
Ni elimu Pana Sana kwanza Unatakiwa Uanze Basic kabisa za Elimu ya Spirituality..
NA Vitabu viko vingi sana Kuna Kipindi Nilikuwa anavishare Humu ni kama Miezi sita au Nane imepita kama sio Mwaka..
Ila Mazingira Hayakuwa mazuri ya Kushare vitabu hivyo nitakutafuta Inbox na Nitakutumia Mwenyewe Vitabu Vyote kuanzia Vya Basic Mpaka Hatua za juu..
 
Mkuu ntashukuru sana... naomba ntakukumbusha...
 
hence dependable always na hapo ndipo wanapopatwa
 
Uko sawa Ila kuna Baadhi ya Sehemu Nitakukatalia kama Utakuwa Unajua Elimu ya Frequency na Energy na Vibration Utajua Kuwa Hissing au sound ya letter "S", Tena mara nyingi inapokuwa pronounced as a prolonged "ssssss," huwa Inaresonates at a relatively high frequency in terms of sound vibration.

Na Ndo maana Walokole wale wanaojifanya wanaponya Huwa Wanaivuta ile Yessssu Katika Jina la Yesssssu...
zile Sss Huwa wanazitamka kwa Kuzivuta ambayo Huproduces sharp, continuous hissing sound ambayo hu occupies the higher end of the auditory spectrum.

so ile "ssssss" sound Huwa inavibrate a certain refined energy, au Unaweza Ukaita Subtle vibrations.

Ambayo ni high-frequency in nature is often linked to states of mental clarity, awareness, na Mara Nyingi hata wanaofanya MeditatioN hissing huwa ni Muhimu kwenye activation of higher chakras (like the third eye or crown).

So Vingine Umesema Kweli ila Hissing ya yesssssu Huwa Ni High Frequency sio kwa Sababu ya Jina Ila kwa sababu ya Uwepo Wa U na Sssss Nfikiri Unajua U au O Huwa Na Kazi gani kwenye vibration..

Japo unaweza Ukasema Yussuf na Ukaamsha Hizo vibration na Usiseme Yesssu
 
Kuna kitabu kimeelezea vizuri "jinsi uchawi unavyokupa! " kimeandikwa na Munga Tehenani.
 
Naam mambo matatu yanachangia jini,kwanza kuwa na hofu kwa chochote unachohisi ni kibaya dhidi yako,pili kuwa na hasira au huzuni,tatu kutomwamini mungu kwamba ye ndo muweza wa yote (Allah),nne kutomshirikisha na chochote.
 
Mtu anaelaumu wengine kwa uzembe wake mwenyewe anacheza kwenye low frequency. Ukitaka kuwa kwenye high frequency jenga tabia ya kutia moyo wengine na kuwa Positive daima.Ndo nimeanza kutoa elimu.
 
Naam kwa hiyo wanakuwa wamemdhulumu, maana kuuwa na kufufua ni kazi ya mungu,afanyacho yeye ni kuweka sababu,anaamua ufe kupitia kuugua,kwa kupata ajali,kwa kupigwa risasi na mwenzako nk.
 
Hidden Pattern,
The Human being ni rank ya pili baada ya EL/JEHOVAH
The creator!
Tupo kwenye high advanced frequency ya Immortality na tunatawala beyond the edge,
Ila kutokana na ujinga wetu na ukosefu wa maarifa tunateseka bure wakati kila kitu kipo chini ya command yetu!

Ipo siku nitaelezea ni kina nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…