Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Hapa umeongea kisayansi kidogo,kiroho ili uweze kurogeka kinachotokea unaingizwa kwenye dhambi na shetani ukishakuwa kwenye hiyo state Roho wa Mungu anakuacha,kwahiyo unakuwa huna protection,hapo ndipo unaweza kuingiwa na maroho na hata kurogwa,maana hata hiyo hofu ni roho ya shetani.Neno la Mungu linasema "Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi" 2Timotheo 1:7....
 
Mkuu funguo yake ni upendo. Yaani binadamu mwenye upendo timilifu ana power ya ajabu sana na ndio kichocheo cha kufikia high vibrant.

Upendo ninao uzungumzia sio ule upendo wa kuonekana kuwa unafanya jambo jema bali ni ule upendo uliobeba nia ya mtu kwa kutanguliza faida kwa wote na sio faida yake binafsi kwa kila jambo alifanyalo.

Baada ya kujifunza nili apply kwangu aisee kuna vitu nilivigundua ambavyo si vya kawaida moja ya matukio; kuna siku nipo ugenini sehemu mara mgeni mwingine akaingia kwa ile nyumba ile kukutana nae tu kuna hali fulani ya ubaridi nikahisi kisha hewa ikawa nzito nikamkazia macho asee alilipuka kisha akatulia kama kapigwa shoti.
 
Mchango wako ni mzuri ila hapa umejichanganya,haiko hivyo,unapotosha watu"
Pepo hawezi kukuvamia bila sababu, na hii iwaendee wale walokole wanaodai watu huanguka makanisani sababu ya mapepo, acheni utani jmn hivyo viumbe havifanyi kazi kwa namna mnayoidhania, na pengine watu wenye mapepo ni wale tunaowaamini watusaidie kiroho, hao ndio ambao hupagawa na mapepo, kwa sababu maalumu ya kupotosha jamii.
Hao wanaodondoka makanisani na wengine kuleta stories za ajabu ajabu hao wote ni wagonjwa wa akili yaani waliologwa akili ama kiufupi waliopagawa na nguvu za Pepo ambao wameletwa na hao viongozi wenu wa kidini kwa kujua ama kutokujua"....
 
It is true - ndo maana ni rahisi Sana kupoteza vitu vingi na kupata mikosi endapo ukaruhusu hasira ,huzuni ,chuki, wivu .

Frequency unazotuma katika ulimwengu zikiwa juu ndo pale unamsikia MTU anasema nimemfikiria mama akanipigia au nimemfikiria kaka akanioigia simu.

But a lot of people hawaelewi ndo maana unawakuta hawapati matokeo chanya in everything they do .
 
Mkuu naomba unitumie vitabu vyote utakavyomtumia huyu mtu na Mimi nitumie. Natanguliza shukrani
 
Kama ulitaka kuua mtu au uliuwa mtu kwa makusudi yako mwenyewe, adhabu yako wewe ni kifo tu kiwe cha kiserikali au si cha kiserikali. Lazima na wewe upate hukumu ya kutolewa uhai.
 
Dharau ni low frequency/Negative energy
Mwambie bwana,watu wengi wapo kwenye lindi la ujinga wa kutojua athari ya sauti na maneno yanayotoka kwenye kinywa chao. Elimu hizi km positive and negative mind,human behavior,the art of positive thinking, Metaphysics,Spiritual realm,Universal laws,nd how they control our physical world ni muhimu sana watu wakajua.Haya yoooote yapo kwenye Biblia takatifu km ukimpata mchungaji mwenye upeo mkubwa atakufundishwa. Pia kuna vita vya Psychology vimejaribu ,kuelezea haya.Ni vile watu tumekua wajuaji kupindukia kiasi kwamba wengi hawaamini vitu visivyothibitika moja kwa moja. Lakini ni vema tukatambue Life is not as simple as most people think and perceive.
 
Mkuu na nakupa 90 over 100%. Kwa sisi tunaojua haya mambo umetoa Summary nzuri sana. Sema ili mtu aelewe hii elimu inabidi angalau awe na D ya physics vinginevyo ni zero. Ukijua hii elimu na ikakukaa vzr huwezi ishi maisha ya migogoro na watu.
 
Thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…