Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Ni elimu Pana Sana kwanza Unatakiwa Uanze Basic kabisa za Elimu ya Spirituality..
NA Vitabu viko vingi sana Kuna Kipindi Nilikuwa anavishare Humu ni kama Miezi sita au Nane imepita kama sio Mwaka..
Ila Mazingira Hayakuwa mazuri ya Kushare vitabu hivyo nitakutafuta Inbox na Nitakutumia Mwenyewe Vitabu Vyote kuanzia Vya Basic Mpaka Hatua za juu..
Nami naomba unitumie please.
 
Kujiona unahatia/Dhambi ndio jambo kubwa linaloshikiria consciousness ya watu wengi.

Dhambi haipo kabisa kwa watu wenye ufahamu wa juu.
Hii comment nilikua sijaiona believe me wewe jamaa unajua siri,
Hakuna kitu kinachowaangusha Wanadamu kama hicho kitu,
Watu wengi hawafikii kiwango cha juu cha consciousness sababu wanajiona ni wenye hatia hata Yesu Kristo mafundisho yake yame base kufungua hizo code that's why ukisoma utaona hadi wanafunzi wake walifika level za juu Spiritual kama kufanya vitu beyond the limit,kuponya magonjwa,kufukuza evil spirit hadi kufufua wafu sababu ya hiyo elimu
Hapo sijaongelea Wamisri wa kale na balaa lao,
Kiwango cha juu cha consciousness kinaweza kukufanya vibration za akili na mwili wako vikapanda na kufikia level za Uungu
(super computer)
Movie kama Black Adam,super man nk zinafungua code namna binadamu anaweza kufanya mambo makubwa akipata formula fulani!
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Frequency izi izi za mawimbi ya satelite au Unazungumzia zipi
 
Wengi mmetuacha kwenye frequency. Neno frequency ni la kifizikia. Physics na mambo ya kiroho wapi na wapi?

Nataka kujifunza hii elimu ya low na high frequency. Nina wasiwasi nitatakiwa kwanza nianze na introduction ya vitu vingi vitakavyonipotezea muda kama mambo ya Nibiru.
Ahaaa Nibiru Extraterrestrials planet ni intelligent ina move popote kwenye Universe ipo frequency za juu kiasi kwamba imejichimbia kwenye dimension yake,
Hiyo ndio mother ship planet kubwa mara 100 ya Dunia yetu na inazalisha energy yake bila msaada wa nyota yeyote maana viumbe wanaoiendesha ni Anunnak the supreme being ndani ya huu Ulimwengu!
Niendelee?
😁😁
 
BUDDHA, KRISHNA NA YESU walikuwa na frequency za juu sana.
Yesu Kristo ndio Master of masters ndio maana anaitwa Lord of Lords Mfalme wa wafalme yeye ndie Binadamu na kiumbe pekee aliyefika rank za mwisho za Consciousness na kiumbe yeyote anayefikia hapo Uungu unamvaa 💯%
Na anakua kwenye Eternity yaani Alfa na Omega au non of existence beyond limitations,
Hii siri ukiijua na ukaelewa hutaastajabu kwanini Yashua Amashiach alisema
Mimi na Baba ni wamoja (Baba ni kiwakilishi cha Supreme power)

Pia kuna nukuu anasema yeye ndie njia ya kweli na uzima (means mtu yeyote atakaye fuata njia yake yaani kua Consciousness 💯% ataingia kwenye Eternity na kwenye Eternity hakuna wingi kila kitu kinakua the one)

Pia kuna andiko anasema "mimi ndie njia ya kweli na uzima"
(Means mtu ukimfuata yeye ile njia ya kua Consciousness itakufanya kufika level zake na kua mmoja pamoja naye yaani eternity)

Sasa watu wengi hatujui siri za Uungu that's why code hizi zinatupiga chenga na kutufanya kua week endapo mtu akipata hata nusu ya Haya maarifa atafanya miujiza mikubwa sana!
 
Ahaaa Nibiru Extraterrestrials planet ni intelligent ina move popote kwenye Universe ipo frequency za juu kiasi kwamba imejichimbia kwenye dimension yake,
Hiyo ndio mother ship planet kubwa mara 100 ya Dunia yetu na inazalisha energy yake bila msaada wa nyota yeyote maana viumbe wanaoiendesha ni Anunnak the supreme being ndani ya huu Ulimwengu!
Niendelee?
😁😁
endelea mkuu
 
Yesu Kristo ndio Master of masters ndio maana anaitwa Lord of Lords Mfalme wa wafalme yeye ndie Binadamu na kiumbe pekee aliyefika rank za mwisho za Consciousness na kiumbe yeyote anayefikia hapo Uungu unamvaa 💯%
Na anakua kwenye Eternity yaani Alfa na Omega au non of existence beyond limitations,
Hii siri ukiijua na ukaelewa hutaastajabu kwanini Yashua Amashiach alisema
Mimi na Baba ni wamoja (Baba ni kiwakilishi cha Supreme power)

Pia kuna nukuu anasema yeye ndie njia ya kweli na uzima (means mtu yeyote atakaye fuata njia yake yaani kua Consciousness 💯% ataingia kwenye Eternity na kwenye Eternity hakuna wingi kila kitu kinakua the one)

Pia kuna andiko anasema "mimi ndie njia ya kweli na uzima"
(Means mtu ukimfuata yeye ile njia ya kua Consciousness itakufanya kufika level zake na kua mmoja pamoja naye yaani eternity)

Sasa watu wengi hatujui siri za Uungu that's why code hizi zinatupiga chenga na kutufanya kua week endapo mtu akipata hata nusu ya Haya maarifa atafanya miujiza mikubwa sana!

Watu wengi hawaelewi haya mambo.
 
ila we una amini kile kitabu ni 100 percent accurate, mimi namini kwenye sehemu ya Enoch kupelekwa mbinguni na malaika na kuwa Azazil ndiye aliyeanzisha hizi instrument, kuhusu ma gianti na Noah's flood naamini ila kwenye fallen angels kuja kumate na warembo wa duniani sidhani kama ni kweli, ila angalau wangeacha parts kidogo sio kukitoa chote
Kwann unadhani haiwezekani malaika kumate na wanadam?
 
Low and high frequency ni matokeo ya matendo ya kimwili na kiroho... unaporuhusu mwili wako uiruhusu au uifunze roho namna ya kuishi utabaki low ila ukiiacha roho yako uifunze mwili namna ya kuishi utakua high.

Shida ni kwamba kwa kila mwanadamu huwa ni ngumu sana kuuweza kuutawala na kuuendesha mwili wake kwa namna ya kiroho ndio maana ukisoma maandiko wale watu wengi ambao walikua wakimtumikia Mungu waliweza kufanikiwa kwa kiasi fulani ila kufeli kwao kulisababishwa na mwili na ndio maana Mungu hamuamini mwanadamu hata roho yake ikiwa safi kiasi gani anajua majaribu ya kimwili yanapomkumba huwa ni ngumu kuyashinda.

Maandiko yanasema "roho yangu haitashindana na mwanadamu milele kwa maana na yeye ni nyama, maisha yake yatakua ni miaka 120".

Kwahiyo Mungu amemshindwa mwanadamu kiasi cha kumpunguzia miaka ya kuishi... anyway.

Kwahiyo uhasi huja pale mtu anaporuhusu mwili wa damu na nyama uifunze roho namna sahihi ya kuishi na uchanya huwa ni kinyume chake.

Kitu ambacho watu wanapaswa wajue ni kwamba...

Mtu ni kati ya kiumbe hatari sana katika historia ya uumbaji ambao ulifanyika pale bustanini, kwa maana katika jamii zote nne za viumbe waliokua na mfanano na binadamu ambao walikua pale bustanini binadamu pekee ndio alikua na nguvu zote nne za asili ya uumbaji wa ulimwengu ila mbili zikiwa zimejitokeza zaidi kuliko zile mbili nyingine ambazo zenyewe zilikua zimefichwa.

Kwahiyo binadamu alikua na uwezo wakuwa na tabia zote za viumbe wale wanne ila wao kwao ilikua haiwezekani.

Ndio maana Mungu aliusitisha ule mradi wa uumbaji kwasababu ulikua unaenda kinamna tofauti na matarajio ya awali na ndio maana viumbe wote uliowataja hapo hakuna namna wanaweza kumkaribia mwanadamu kiuwezo hasa pale anapoamua kuishi kwenye upande wake wa kiroho zaidi ya kimwili.
 
Najua sana, ila huwa nakua makini kuzungumza ovyo ovyo kwani si kila mtu anaweza kuelewa hasa hizi zama ambazo kila mtu anajifanya mjuaji. Kumbuka usemi wa Mastermind mkuu Yesu Kristo kuwa,"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua".
Na mbwa waliomaanishwa hapo sasa ni yeyote asiye muisraeli ........

🤺...................🦴 fetch.
 
Low and high frequency ni matokeo ya matendo ya kimwili na kiroho... unaporuhusu mwili wako uiruhusu au uifunze roho namna ya kuishi utabaki low ila ukiiacha roho yako uifunze mwili namna ya kuishi utakua high.

Shida ni kwamba kwa kila mwanadamu huwa ni ngumu sana kuuweza kuutawala na kuuendesha mwili wake kwa namna ya kiroho ndio maana ukisoma maandiko wale watu wengi ambao walikua wakimtumikia Mungu waliweza kufanikiwa kwa kiasi fulani ila kufeli kwao kulisababishwa na mwili na ndio maana Mungu hamuamini mwanadamu hata roho yake ikiwa safi kiasi gani anajua majaribu ya kimwili yanapomkumba huwa ni ngumu kuyashinda.

Maandiko yanasema "roho yangu haitashindana na mwanadamu milele kwa maana na yeye ni nyama, maisha yake yatakua ni miaka 120".

Kwahiyo Mungu amemshindwa mwanadamu kiasi cha kumpunguzia miaka ya kuishi... anyway.

Kwahiyo uhasi huja pale mtu anaporuhusu mwili wa damu na nyama uifunze roho namna sahihi ya kuishi na uchanya huwa ni kinyume chake.

Kitu ambacho watu wanapaswa wajue ni kwamba...

Mtu ni kati ya kiumbe hatari sana katika historia ya uumbaji ambao ulifanyika pale bustanini, kwa maana katika jamii zote nne za viumbe waliokua na mfanano na binadamu ambao walikua pale bustanini binadamu pekee ndio alikua na nguvu zote nne za asili ya uumbaji wa ulimwengu ila mbili zikiwa zimejitokeza zaidi kuliko zile mbili nyingine ambazo zenyewe zilikua zimefichwa.

Kwahiyo binadamu alikua na uwezo wakuwa na tabia zote za viumbe wale wanne ila wao kwao ilikua haiwezekani.

Ndio maana Mungu aliusitisha ule mradi wa uumbaji kwasababu ulikua unaenda kinamna tofauti na matarajio ya awali na ndio maana viumbe wote uliowataja hapo hakuna namna wanaweza kumkaribia mwanadamu kiuwezo hasa pale anapoamua kuishi kwenye upande wake wa kiroho zaidi ya kimwili.
Ndio ndio mkuu umeelezea vizuri sana,
Kiufupi mtu akipitia hapa kuna kitu atajifunza Ili kufungua Immortality code!
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Hii ni redio ya wapi kwani🥲
 
Nivigumu sana walioko kwenye box kuelewa mambo ya nje ya box..
 
Back
Top Bottom