Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,786
Well said, Waafrica wengi haya mambo yapo.Kwa sisi Waafrika si jambo la ajabu. Cha msingi familia inajua mke rasmi nani, wengine mtulie
Tatizo ni kama umemficha mmoja au humpi airtime kama mwenzie (ingawa unaweza kua na sababu zako za kiufundi maana sio kila kitu walimwengu wajue).