Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Angeweka wazi mali zoote alizochuma na mke wa kwanza ziwe za mke mkubwa na watoto wake.
Alafu angewaambia hapa naondoka na suruali zangu tuu na gari hilo hapo nje naenda kuanza maisha upya
Mali zoote kuanzia kesho siyo zenu ni za mke mdogo na watoto wake msiwaingilie.
Pia angesema nikifa nataka kizikwa sehemu fulani na msiba iwekwe kwa nani? Jimboni au Dodoma mjini. Mbona kisinhekuwa na kelele zoote hizo.
Na msiba ungeisha bila makelele hata ya kijiko tusingesikia.
Imekuwa ghafla sana...mu msamehe
 
Taarifa zilizopo ni kwamba Marehemu Ndugai alifunga ndoa ya kikristu na Bi Stella mwaka 1988 baadae akaja mtelekeza baada ya kuona sio hadhi yake ila hawakupeana talaka.
Marehemu Ndugai akajq kumchukua Dr Fatma Mganga na kumfanya hawara yake rasmi kabisa kama mke pamoja na kuzaa nae.
Kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa Marehemu alikuwa amevunja sheria ya ndoa .
Bi Stella aliamua kuvumilia uvunjifu huu wa kisheria manake alikuwa na uwezo wa kwenda mahakamani kudai talaka.
Sasa Bw Ndugai kafariki Bi Stella kaibuka na kudai yeye ndio mke halali ,
Kisheria Bi Stella ndiye anatambulika huyo Dr Fatma hatambuliki.

View attachment 3436594
Safi sana niko upande wa Stella
 
Hamna tatizo hapo, his wives, he's life.
Tatizo siasa zao, za ubabe, kutesa, kujilimbikizia mali, ulevi wa madaraka, ufisadi, ubinafsi, ulafi, uroho, wizi, KUUWA...
 
Mwanaume mzima unashangaa Mwanaume mwingine kuwa na wake wawili tu? Hata wangekuwa 10 kwani alikuomba umsaidie kununulia watoto unga wa ugali?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom