Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Tutasikia mengi 😶

giphy.gif
 
Inaonekana huyo Dr Fatma anatambulika na watu wote wa "system" na ni mwenye influence kuliko Bi Stella. Ramli chonganishi zinaniambia Dr Fatma ni very likely kupata mirathi na wasipoangalia hii mivutano ya kugombea mali kuna watu watang'ata shuka au kuwa vichaa.
 
Wewe jamaa sijui una shida gani.
Toka Jana umekomalia ndoa ya marehemu Job Ndugai.
Unajua sababu za kutengana?
Kama hujui kwanini umemuwekea maneno mdomoni marehemu kwamba aliona siyo hadhi yake?
Unajua kwamba yawezekana walipeleka shauri lao kwenye vyombo vya sheria au na dini wakapewa hati ya talaka?
Sababu makanisa pia hutoa talaka kwa sababu maalumu.
Unajua ugomvi wao nini, na nani alikuwa mkorofi?
Usipende kutoa hukumu kwa wenzio hata kwa baba yako mzazi akimuacha mama yako.
Unaweza kukuta mama yako ndiyo msaliti wa ndoa, baba kamtunzia heshima kwa jamii na wanawe hajasema sababu hadharani ya kuachana naye.
 
Unaweza kukuuta ndio bi Stella mwenyewe au mashoti zake wanatafuta huruma
 
Taarifa zilizopo ni kwamba Marehemu Ndugai alifunga ndoa ya kikristu na Bi Stella mwaka 1988 baadae akaja mtelekeza baada ya kuona sio hadhi yake ila hawakupeana talaka.
Marehemu Ndugai akajq kumchukua Dr Fatma Mganga na kumfanya hawara yake rasmi kabisa kama mke pamoja na kuzaa nae.
Kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa Marehemu alikuwa amevunja sheria ya ndoa .
Bi Stella aliamua kuvumilia uvunjifu huu wa kisheria manake alikuwa na uwezo wa kwenda mahakamani kudai talaka.
Sasa Bw Ndugai kafariki Bi Stella kaibuka na kudai yeye ndio mke halali ,
Kisheria Bi Stella ndiye anatambulika huyo Dr Fatma hatambuliki.

View attachment 3436594
Kama mwenyewe alimkataa na nyaraka zake zote alizoziandika akiwa na akili timamu kamtaja Fatuma. Wewe ni nani?
 
Kwa zile dharau alizokuwa nazo, asingeweza kuishi na mwamake mchaga...
 
It's important for a couple to be legally recognised.

It's more important to actually be together (emotionally, physically, mentally, spiritually).

Sasa you have the papers but some one else is the one attached to your spouse, what's the point!
 
Tutajuje "alimtelekeza" kwasababu kaona si wa hadhi yake?

Kwakuwa mtu mwenyewe ameshakuwa dhaifu kabisa hawezi kujitetea basi mtamfanya mnachotaka.
 
Sema ndoa nyingi za kiyudayuda. Mnaonekana mko pamoja lakini truly truly hampo pamoja.

Poleni sana.
 
Back
Top Bottom