makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Haiwezekani uwe na pesa halafu ukawe na "MKE MMOJA KAMA ROHO"
Huwezi kula ugali maharage kila siku mwaka mzima.Kumbe biharusi mmoja hatoshi🤔
Acha kuleta ujuajiKuna kifungu kwenye bible kinachosema ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi?
Hayo ni mapendekezo ya waasisi wa imani hiyo ila hawana andiko/maandiko yanayosema kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi.Kwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa
Biblia ya kwako binafsiAcha kuleta ujuaji
Kibiblia ni dhambi ila kiafrika hasa sisi wafugaji siyo dhambi
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Naomba andiko linalosema hivyo kwenye BibliaAcha kuleta ujuaji
Kibiblia ni dhambi ila kiafrika hasa sisi wafugaji siyo dhambi
Ni fungu gani katika biblia linakataza mkristo wa kiume kuwa na wake Zaidi ya Mmoja? Aliyekatazwa katika ukristo kuoa mke zaidi ya Mmoja ni Askofu peke yake kutokana na majukumu yake,naona hapa wazungu walisahau kupaedit wakati wanaandaa biblia yao ya mchongo.Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Naomba taratibu za kibiblia siyo za kikanisa zinazosema kuwa na wake wengi ni dhambiKwa taratibu za kikanisa mke ni mmoja tu mke wake wa kanisnai ni huyo stela,huyu dr mganga walikuwa wanazini
Kutoka 20:14: "Usizini." Ukifanya hivyo, unavunja ahadi uliyotoa mbele ya Mungu kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako wa ndoa.
KifupiNi ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.
Nina ushuhuda wa mzee mmoja alipovuta aliibuka mwanamke ambaye kumbe alikuwa na ndoa ya kanisa na marehemu,
Kwenye mstakabali wa kisheria hususani sheria za Marathi hili suala linawezaletq utata.
Wewe mwanaume mkristo unafunga ndoa ya kikristo na mwanamke halafu unamtekeleza kienyeji bila talaka, unatafuta.mwanamke.mwingine let say muislamu mnachukuana mnaishi mnajenga maisha mnakuwa na mali mwanume huyo alifa yule mwanamke mkristo aliyeachwa kienyeji anakuja kuibuka hapo anaweza leta.utata mkubwa sana .
Tatizo watu wanachukulia sifa kuwa na wanawake wengi (mitala) hili suala kisheria halina shida sana kwa waislamu. Ukishafunga ndoa ya kanisani ni suala moja nyeti sana ukizamiria kumuacha huyo mwanamke jitahidi umpe talaka rasmi mahakamani la sivyo anaweza kuja kuibuka wakati umekufa akaleta.mtafaruku
Jisomee mwenyeweNaomba andiko linalosema hivyo kwenye Biblia
Haya yadinii utayapendaa subirie wafike mahakamanUwezo kama upo ata wake 10 sawa tu, mambo ya udini peleka huko.
Lakini ukitaka kula kingine inapaswa useme upikiweHuwezi kula ugali maharage kila siku mwaka mzima.
Jisomee mwenyeweBiblia ya kwako binafsi
Wanaume sio kila muda tunasema kama wanawake.Lakini ukitaka kula kingine inapaswa useme upikiwe