Kwa sheria ya Mama Kikwete maisha binafsi yanagharimu walipa kodiMaisha binafsi si kila mtu ana yake? Au?
Kwa sheria ya Mama Kikwete maisha binafsi yanagharimu walipa kodiMaisha binafsi si kila mtu ana yake? Au?
Sio lazima kuachanaJisomee mwenyewe
Soma biblia vizuri kijana. Uelewe. kama ilivyo kwenye biblia hakuna amahali paliposema oa wanawake zaidi ya mmoja hakuna pia maandiko yanayosema usioe mwanamke zaidi ya mmoja . Maandiko hayako direct hivyo ,, wewe unaelewa nini kuhusu kuzini?Ni fungu gani katika biblia linakataza mkristo wa kiume kuwa na wake Zaidi ya Mmoja? Aliyekatazwa katika ukristo kuoa mke zaidi ya Mmoja ni Askofu peke yake kutokana na majukumu yake,naona hapa wazungu walisahau kupaedit wakati wanaandaa biblia yao ya mchongo.
1 Tim 3:2-3
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole
Njoo na wewe na fungu lako lenye kuzuia mkristo wa kiume kuwa na mke zaidi ya Mmoja
Yie inaonekana ndio mtoto wa mke wa ndoa ambaye aliwekwa pembeni .Kuna mtangazaji alikuwa anamuuliza binti wa Ndugai "Baba yako ana miji mingapi?" Yule binti akawa anafunguka kwamba ana nyumba ya shamba pia.
Nikawa najiuliza what is the point of this question?
Kumbe mtu alikuwa anachimba?
Ni dhambi kwa kurejea andiko lipi la kwenye Biblia?Acha kuleta ujuaji
Kibiblia ni dhambi ila kiafrika hasa sisi wafugaji siyo dhambi
Kwa sheria ya Mama Kikwete maisha binafsi yanagharimu walipa kodi
Jafo ana wanne, Awesu ana wawili, mama ni mke wa Tatu nk.Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Umetoa wapi haya?Sheria hizo si ndiyo tutakazo ziondosha Lissu akishika nchi? Au?
Umetoa wapi haya?
Babaharusi wangu alindwe⚔️🗡️💪🏾Wanaume sio kila muda tunasema kama wanawake.
Ni fungu gani katika biblia linakataza mkristo wa kiume kuwa na wake Zaidi ya Mmoja? Aliyekatazwa katika ukristo kuoa mke zaidi ya Mmoja ni Askofu peke yake kutokana na majukumu yake,naona hapa wazungu walisahau kupaedit wakati wanaandaa biblia yao ya mchongo.
1 Tim 3:2-3
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole
Njoo na wewe na fungu lako lenye kuzuia mkristo wa kiume kuwa na mke zaidi ya Mmoja
Tusipo oa wake wengi si watabaki wanatanga tanga TU huku na huko! Zamani wanawakeNimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Hao dini yao.inaruhusu .Jafo ana wanne, Awesu ana wawili, mama ni mke wa Tatu nk.
Hata ukioa Mia itafikq siku utakufa wataendelea kutangatanga.Tusipo oa wake wengi si watabaki wanatanga tanga TU huku na huko! Zamani wanawake
walikuwa wachache ndio maana ulitakiwa uoe mmoja TU ili Kila mtu apate wake! Sasa ni ruksa! N.B: Mimi ni Mgalatia.
Si nimeshakupa andiko hapo mtumishNi dhambi kwa kurejea andiko lipi la kwenye Biblia?
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea. View attachment 3435291

- JF no stress.Hata kama angekuwa na wake kumi, jambo la msingi ameitumia fimbo yake vizuri. Kwani wewe ulitamani uwe mke wake wa ngapi?
Kwani wewe umekuwa na demu mmoja tokea uzaliwe mkuu??!Unawaomea wivu au kipi kinachokushangaza mzee ?
Sio ubinafsi tu ni tamaa za wanaume na kiburi.Ubinafsi ndio unaleta mtafaruku.