evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
- Thread starter
- #61
Mkuu hatuongelei masuala ya mademu wewe ni.punguwani nini .Kwani wewe umekuwa na demu mmoja tokea uzaliwe mkuu??!
Hili ni suala la mke .
Tatizo JF imevamiwa na watoto ambao hawana hata utashi wa kufikiri.
Mke sio demu wewe mtoto , embu nenda kanyonye ulale.
Wewe ukifa unategemea uzikwe na demu wako sio na wala sio mke?