Ndio tena alikuwa na cheo Fulani huko Anglican....ndio maana alienda Nazareth ......😆Alikuambia ni mkristo?
Ndio tena alikuwa na cheo Fulani huko Anglican....ndio maana alienda Nazareth ......😆Alikuambia ni mkristo?
Kwa sisi wakristo sheria hairuhusu mke wa kwanza kama umefunga naye ndoa ya kikristo anawezakwenda mahakamani na kuvunja hiyo ndoa yako nyingine kwani anaweza kukataa kuachwa au akitaka kuachwa akadai fidia kubwa usichukulie kirahisi mkuu ndo ni suala la kisheria pia kwa hiyo mkuu nakushahuri tafuta sheria ya ndoa ya tanzania uisome utajifunza kitu embu soma hiko kifungu hapa chini nimekuambatishiaAtakayemuacha mke wake.... Je Asipomuacha na akaoa mwingine huku yupo na yule wa kwanza?
We ni mkristu au sio??, Imani yako inasemaje?Kwa sisi Waafrika si jambo la ajabu. Cha msingi familia inajua mke rasmi nani, wengine mtulie
Pengine aliona asifuate mafundisho ya Papa Paul aliyewataka Wakristo waoe mke moja wakati Yesu hakusema hayo, lakini pia watu waliokuwepo wakati wa Yesu na kabla yake wali oa wake wengi na yesu hakusema kama ni chukizo.Ubaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Sio kufuata maneno ya papa, aliamua kabisa kuivunja sheria ya ndoa ya tanzania ya mwaka 1971Pengine aliona asifuate mafundisho ya Papa Paul aliyewataka Wakristo waoe mke moja wakati Yesu hakusema hayo, lakini pia watu waliokuwepo wakati wa Yesu na kabla yake wali oa wake wengi na yesu hakusema kama ni chukizo.
Hakuna Mwanaccm mcha MunguKwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa
Mshauri wa Askofu....hahahaNimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Hii inafahamika wala watu wasidanganyikeHakuna Mwanaccm mcha Mungu
Sema kimeumanaUbaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Mkuu nilikuwa nahoji kuhusu uzinzi..Kwa sisi wakristo sheria hairuhusu mke wa kwanza kama umefunga naye ndoa ya kikristo anawezakwenda mahakamani na kuvunja hiyo ndoa yako nyingine kwani anaweza kukataa kuachwa au akitaka kuachwa akadai fidia kubwa usichukulie kirahisi mkuu ndo ni suala la kisheria pia kwa hiyo mkuu nakushahuri tafuta sheria ya ndoa ya tanzania uisome utajifunza kitu embu soma hiko kifungu hapa chini nimekuambatishia
View attachment 3435418
Waislam watampambania mwislam mwenzaoHapo wanajipanga kugombania nani atakuwa mmiliki harari wa mafao ya ubunge na uspeaker.
Michepuko wana kazi Sana Kwa kweli.
Siyo tu kuwa na mke mmoja. Hata kuchepuka tu ni kwenyewe dhambi.Kuna kifungu kwenye bible kinachosema ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi?
Anaetambulika hapo kisheria ni WA kanisaniNimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Mkirisitu hajakatazwa kuwa na wake wengiAlikuambia ni mkristo?
Alimpora kutoka kwa nani,ninasikia huyu Dr Fatima alikuwa Dr wa wilaya Kongwa na ndiko walipokutana.Pia Ndugai mpango wake ilikuwa kumrithisha jimbo la Kongwa.Kama Sita alivyofanya kwa Magreath Sita.Hata uyo fatuma mzee ndugai alimpora mtu..na ndio aliekua akikaa nae mda mrefu
Kwa hiyo kama mwanamke nifunga nae ndoa mbele ya safari aka badilika tabia ni nyamaze tu hiyo ngumu lazima nivute jiko jipya nipate amani ya moyo.Ni ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.
Nina ushuhuda wa mzee mmoja alipovuta aliibuka mwanamke ambaye kumbe alikuwa na ndoa ya kanisa na marehemu,
Kwenye mstakabali wa kisheria hususani sheria za Marathi hili suala linawezaleta utata.
Wewe mwanaume mkristo unafunga ndoa ya kikristo na mwanamke halafu unamtekeleza kienyeji bila talaka, unatafuta.mwanamke.mwingine mnaishi mnajenga maisha watu wasiokuja zamani wanajua huyo ndio mke wako.
Mnakuwa na mali mwanamke anamuamini mume wake anamuachiq anaandikisha mali kwa jina lake.
Mwanume huyo akifa yule mwanamke mkristo aliyeachwa kienyeji anakuja kuibuka hapo anadai mali zote.zenye jina la huyo mwanaume kwani yeye ana cheti cha ndoa cha kanisani na anapewa wakati hata hakushiriki kuzichuma.
Hili suala msilichukulie kirahisi linaweza leta.utata mkubwa sana .
Kula mbususu mbalimbali hata ikiwezekana kuzaa na wanawake mbalimbali inakubalika ila kwenye kuoa kiholela kwa wakristu ni hatari.
Tatizo watu wanachukulia sifa kuwa na wanawake wengi (mitala) hili suala kisheria halina shida sana kwa waislamu kwani uislamu unaruhusu ndoa zaidi ya moja.
Ila ukristu hairuhusu na hata sheria ya ndoa ya tanzania inatambua msimamo huo wa kanisa
. Ukishafunga ndoa ya kanisani ni suala moja nyeti sana ukizamiria kumuacha huyo mwanamke jitahidi umpe talaka rasmi mahakamani la sivyo anaweza kuja kuibuka wakati umekufa akaleta.mtafaruku
Hata kama angekuwa na wake kumi, jambo la msingi ameitumia fimbo yake vizuri. Kwani wewe ulitamani uwe mke wake wa ngapi?