Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,786 Aug 11, 2025 #201 platozoom said: Kwa sisi Waafrika si jambo la ajabu. Cha msingi familia inajua mke rasmi nani, wengine mtulie Click to expand... Well said, Waafrica wengi haya mambo yapo. Tatizo ni kama umemficha mmoja au humpi airtime kama mwenzie (ingawa unaweza kua na sababu zako za kiufundi maana sio kila kitu walimwengu wajue).
platozoom said: Kwa sisi Waafrika si jambo la ajabu. Cha msingi familia inajua mke rasmi nani, wengine mtulie Click to expand... Well said, Waafrica wengi haya mambo yapo. Tatizo ni kama umemficha mmoja au humpi airtime kama mwenzie (ingawa unaweza kua na sababu zako za kiufundi maana sio kila kitu walimwengu wajue).