Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Njaa ni nini? Wabunge wa viti maalumu wamechaguliwa kuwa kwenye nafasi ambazo zipo kikatiba, na wakilipwa mishahara, ni haki yao kwa kazi wanazofanya! Na wakati ukitumia viti maalumu CHADEMA kuuponda upinzani, kumbuka ccm wa viti maalumu 94 vilivyopatikana kupitia ’uchafuzi’ huu huu! Hapo hatujaongelea urais, ubunge na udiwani, ambapo palipigwa vibaya, haikua njaa hiyo?!CDM ni genge la wajanjawajanja wanaotafuta ugali. Upinzani nchi hii bado, watu wana njaa sana.
Spana wamepiga tume na polisi, acha kujipa maujiko kwa kitu ambacho huja husika!Kamati kuu ilikaa lini kumpitisha maalimu awe mgombea zenji? Chandimu kuna ombwe la uongozi, ndo maana tuliwapiga spana!
Tena Halima Mdee akishapewa chama anapewa na kusimamia ruzuku ndio mwisho wa fitina.Pale Ufipa hakuna wa kumgusa Halima James Mdee labda angekuwepo Lowassa!
Huijui michezo hii; Mbowe katulia tuliii, Mwalimu anacheka, mnyika anafula. Muulizeni Mwalimu aliyegonga muhuli nani, anajua!Unavyodai ya kwamba CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA, je kuna kikao cha kamati kuu ya chama kilifanyika ili kuidhinisha na kupitisha majina hayo?
Kama alivyopewa Magdalena Sakaya wa CUF wakati ule!Tena Halima Mdee akishapewa chama anapewa na kusimamia ruzuku ndio mwisho wa fitina.
Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.
Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.
Ni kama vile BAWACHA imehamia Bungeni.
Hongereni akina Mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.
Maendeleo hayana vyama!
Nyumbu umeelewa msingi wa hoja ya Uzi lkn?Still ni wabunge no matter wanatoka kwa nani
Mbowe na Mwalimu wameivusha Chadema.Huijui michezo hii; Mbowe katulia tuliii, Mwalimu anacheka, mnyika anafula. Muulizeni Mwalimu aliyegonga muhuli nani, anajua!
Kesho rudi uyaandike haya uliyoyaandika. Kuna mambo mawili kesho÷Hao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai
Unawaza upumbavu, utupe nchi we kama nani? Nchi ya babu yako hii? Kama unamiliki hii nchi tufukuzeni basi.Najaribu kuwaza... Inamaana Ndugai achague viongozi wote na hao viongozi wakubali kuchaguliwa tena bila uongozi wao kujua.
Hii ni dalili kuwa hata tungewapa nchi bado tungeongozwa na Mabeberu bila hata wao wenyewe kujua
Mnyika yeye hajui hiloMbowe na Mwalimu wameivusha Chadema.
Bila hawa wabunge 19 mishahara ya akina Mnyika itatoka wapi?!!
Sawa Shee yahaya nakuaminia kwa tabiri zakoKesho rudi uyaandike haya uliyoyaandika. Kuna mambo mawili kesho÷
1. Hatutapewa mrejesho wa kikao au
2. Mnyika kujiudhuru
Spana wamepiga tume na polisi, acha kujipa maujiko kwa kitu ambacho huja husika!Kamati kuu ilikaa lini kumpitisha maalimu awe mgombea zenji? Chandimu kuna ombwe la uongozi, ndo maana tuliwapiga spana!
Wawe wa ndugaiHao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai
Naunga hoja mkuu, binafsi yalipoitishwa maandamano ya kupinga uchafuzi mkuu, nilijikuta nipo road peke yangu, kuanzia sasaiv natarajia kujiunga ccm nikasake fursa za kuitafuna nchi kadiri niwezavyo!!Wawe wa ndugai
Wawe wa magufuli
Wawe wa mbowe
Haina maana yoyote.
Cha muhimu ni kwamba watanzania mnapaswa kujitambua na mjitambue kweli kweli. Mkiendelea kuwataka wanasiasa wateseke kwa ajili yenu huku nyie mpo zenu busy mnakula bata, mtapata taabu sana.
Ukisikia 'Ng'wee, ujue jiwe limekupata sawa sawa. Kilangila.Hapa tunazungumzia Bawacha bwashee!
Sisi hayo hayatuhusu.Unavyodai ya kwamba CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA, je kuna kikao cha kamati kuu ya chama kilifanyika ili kuidhinisha na kupitisha majina hayo?