Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

Mwesigwa mwenyewe kwenye baadhi ya kampeni zake Alisha sema Urais tumchaguwe Lisu kwenye ubunge tumpe yeye na udiwani apewe mgawe Leo ana sema vingine teeh teeh
 
Bao la dakika 89 Membe anajitia mwenyewe. Aibu.
 
Ham a kitu mule... ndiyo maana CCM wakamwaga...!!
Asipokuwa makini ataishia kuwa kama wale wazee wasiojielewa kina mrema na cheyo!
 
Na alidai yeye amekwepa mtego WA kuanza kampeni kabla ya muda.
 
Membe atashika nafasi ya pil,na Ccm nafasi ya kwanza yule mropkaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
 
Tujikumbushe

20 October 2020

Duh.! Membe amjibu tena Maalim Seif: Hatuwezi kuishinda CCM tukiungana/atakuwa mjinga na mpumbavu

 
Huyu alilaghai family moja kule Lindi dollar million 2 baada ya kuwaahidi kuwapa mgao wa pesa ya Gadafi wa Libya. Mfrakano ulitokea Kati ya familia ya Mo na wale waarabu wa lindi. Na masikini wale waarabu wa Lindi wanefilisika Membe anadunda na Don Mafioso paymaster
 
Kijana Membe ni rais binafsi wa taifa teule la Mtama.
 
Ulaghai ni kama wizi. Wote mwisho wao ni arobaini (40). Arobaini za Membe zimefika.
 
Hivi hizi pesa za gaddafi hatuwezi kununulia dreamliner nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…