sasa anafanya kila kitu ila kimaisha hata watoto wadogo kina Tunda hawakamati si ajistaafie tu kwa heshima abaki kuwa mlezi wa wadangaji wadogo wadogo aachane na hayo mapunga. Hajashtuka tu hao ndio wanaomzibia nyota yake kwa kuwaendekeza
gym nako kunataka moyo ujue. halafu wabongo tunavyopenda mavyakula matamu hapo ndo tunapofeli. Wembamba tunautamani ila kula tunapendaHasanali kawa bonge tena?[emoji44][emoji134]
Sasa kwanini wanajitesa? Si Bora uende gym wtf!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada ni lazima akubali kubadilika yaan sio ombi tena, hata kama bangi inamtoa nishai!Utaachaje kulaaniwa sasa kukaa kutwa na wanaume waliukataa uwanamume wao
Duuuu mji una mambo huo watu badala watafute miili mizuri kwa ajili ya afya zao wanajipunguza kwa ajili ya kumpendezesha mwanaume utasikia baby hapendi nikiwa mnene au anapenda vipotabo. Badala useme nifanye mazoezi mwili wangu uwe stable na nijinyime kula ovyo ovyoTaswira ya dadake Glammadam umenijia hapa. Kajikondesha halafu kajichubua ukimwangalia utasema albino na ule wembamba hata havutii kama maalbino
ngoja nikiingia insta nitamtafuta nikutumie acc yake. Wallah siku ya kwanza namuona nilijua albino au mzungu toleo la mwisho mpaka nilivyoambiwa ni dawa alizochoma awe mweupe. kakondefu jamani kama katoto sura tu ndo inamuonyesha ni mtu mzima
Sure usemacho. Shida anaongozana na kina nani? Nani ni marfk zake?? unajua kubadilika kunaanza na kuchange kampaniYule dada ni lazima akubali kubadilika yaan sio ombi tena, hata kama bangi inamtoa nishai!
Mambo ya kusema " I don't fu..ck care" kwa umri huo shauri yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa hahahhgym nako kunataka moyo ujue. halafu wabongo tunavyopenda mavyakula matamu hapo ndo tunapofeli. Wembamba tunautamani ila kula tunapenda
Kabisa.....ila kwa kampani uwiiii hawezi hawezi, akina Petit?[emoji56][emoji56]Sure usemacho. Shida anaongozana na kina nani? Nani ni marfk zake?? unajua kubadilika kunaanza na kuchange kampani
hapo ndipo ninaposhangaa. kuna mkaka alianza ooh bby inabidi upungue kidogo nikamwambia bby kwan wanawake wembamba wazuri si waoo wengi tu sasa mbona hukuwafuata? akakaa kimyaaaa. Nimepungua sasa hivi kwa ajili yangu wala sio mwanaume. Kwanza wenyewe hawanaga choice hawa. unajipunguza anaenda kukucheat na Asha boko akuuuu.Duuuu mji una mambo huo watu badala watafute miili mizuri kwa ajili ya afya zao wanajipunguza kwa ajili ya kumpendezesha mwanaume utasikia baby hapendi nikiwa mnene au anapenda vipotabo. Badala useme nifanye mazoezi mwili wangu uwe stable na nijinyime kula ovyo ovyo
kubadlika kunaanza na yeye. kama ndani kwake hayuko tayari kubadilika hata achange kampani mara 10000 hatabadilikaSure usemacho. Shida anaongozana na kina nani? Nani ni marfk zake?? unajua kubadilika kunaanza na kuchange kampani
Sio Nacky?
ngoja nikiingia insta nitamtafuta nikutumie acc yake. Wallah siku ya kwanza namuona nilijua albino au mzungu toleo la mwisho mpaka nilivyoambiwa ni dawa alizochoma awe mweupe. kakondefu jamani kama katoto sura tu ndo inamuonyesha ni mtu mzima
Huyo huyo NakitiaSio Nacky?
Kila kitu kinaanza na wewe shost, ujue wewe ndo unatoa ultimatum ya life yako, hakuna binadamu yeyote anaweza kuingilia ur decision,....ukishalitambua hilo, maisha yako yatakuwa matamu ajabugym nako kunataka moyo ujue. halafu wabongo tunavyopenda mavyakula matamu hapo ndo tunapofeli. Wembamba tunautamani ila kula tunapenda
Nacky ana acc insta...ila nimesahau anajiita nani mle?Huyo huyo Nakitia
Ewaaaa.... that's what am talking about!kubadlika kunaanza na yeye. kama ndani kwake hayuko tayari kubadilika hata achange kampani mara 10000 hatabadilika
Hahaha safi sana kisa cha kujisumbua. Pungua kwa faida yako kiafyahapo ndipo ninaposhangaa. kuna mkaka alianza ooh bby inabidi upungue kidogo nikamwambia bby kwan wanawake wembamba wazuri si waoo wengi tu sasa mbona hukuwafuata? akakaa kimyaaaa. Nimepungua sasa hivi kwa ajili yangu wala sio mwanaume. Kwanza wenyewe hawanaga choice hawa. unajipunguza anaenda kukucheat na Asha boko akuuuu.
Wema hajaamua bado halafu mwenzio anajiona mdogo bado.Kila kitu kinaanza na wewe shost, ujue wewe ndo unatoa ultimatum ya life yako, hakuna binadamu yeyote anaweza kuingilia ur decision,....ukishalitambua hilo, maisha yako yatakuwa matamu ajabu
Humu duniani maisha ni yako mwenyewe, na ndio maana ukazaliwa we mzigua peke yako, hakuna mfanano, wala hatakuja kutokea mwingine kama wewe! So Wema akiamua anaweza
Change begin with you!
Sent using Jamii Forums mobile app
ewaaaaaaaaaNacky ana acc insta...ila nimesahau amajiita nani mle?
Si lile lilikuwa gang la Mange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utanitumia my..ngoja nikiingia insta nitamtafuta nikutumie acc yake. Wallah siku ya kwanza namuona nilijua albino au mzungu toleo la mwisho mpaka nilivyoambiwa ni dawa alizochoma awe mweupe. kakondefu jamani kama katoto sura tu ndo inamuonyesha ni mtu mzima