Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

Anawadalalia...yule demu kila kitu anafanya hapa chini ya jua

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa anafanya kila kitu ila kimaisha hata watoto wadogo kina Tunda hawakamati si ajistaafie tu kwa heshima abaki kuwa mlezi wa wadangaji wadogo wadogo aachane na hayo mapunga. Hajashtuka tu hao ndio wanaomzibia nyota yake kwa kuwaendekeza
 
Taswira ya dadake Glammadam umenijia hapa. Kajikondesha halafu kajichubua ukimwangalia utasema albino na ule wembamba hata havutii kama maalbino
Duuuu mji una mambo huo watu badala watafute miili mizuri kwa ajili ya afya zao wanajipunguza kwa ajili ya kumpendezesha mwanaume utasikia baby hapendi nikiwa mnene au anapenda vipotabo. Badala useme nifanye mazoezi mwili wangu uwe stable na nijinyime kula ovyo ovyo
 
hapo ndipo ninaposhangaa. kuna mkaka alianza ooh bby inabidi upungue kidogo nikamwambia bby kwan wanawake wembamba wazuri si waoo wengi tu sasa mbona hukuwafuata? akakaa kimyaaaa. Nimepungua sasa hivi kwa ajili yangu wala sio mwanaume. Kwanza wenyewe hawanaga choice hawa. unajipunguza anaenda kukucheat na Asha boko akuuuu.
 
gym nako kunataka moyo ujue. halafu wabongo tunavyopenda mavyakula matamu hapo ndo tunapofeli. Wembamba tunautamani ila kula tunapenda
Kila kitu kinaanza na wewe shost, ujue wewe ndo unatoa ultimatum ya life yako, hakuna binadamu yeyote anaweza kuingilia ur decision,....ukishalitambua hilo, maisha yako yatakuwa matamu ajabu

Humu duniani maisha ni yako mwenyewe, na ndio maana ukazaliwa we mzigua peke yako, hakuna mfanano, wala hatakuja kutokea mwingine kama wewe! So Wema akiamua anaweza

Changes begin with you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo ndipo ninaposhangaa. kuna mkaka alianza ooh bby inabidi upungue kidogo nikamwambia bby kwan wanawake wembamba wazuri si waoo wengi tu sasa mbona hukuwafuata? akakaa kimyaaaa. Nimepungua sasa hivi kwa ajili yangu wala sio mwanaume. Kwanza wenyewe hawanaga choice hawa. unajipunguza anaenda kukucheat na Asha boko akuuuu.
Hahaha safi sana kisa cha kujisumbua. Pungua kwa faida yako kiafya
 
Kila kitu kinaanza na wewe shost, ujue wewe ndo unatoa ultimatum ya life yako, hakuna binadamu yeyote anaweza kuingilia ur decision,....ukishalitambua hilo, maisha yako yatakuwa matamu ajabu

Humu duniani maisha ni yako mwenyewe, na ndio maana ukazaliwa we mzigua peke yako, hakuna mfanano, wala hatakuja kutokea mwingine kama wewe! So Wema akiamua anaweza

Change begin with you!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wema hajaamua bado halafu mwenzio anajiona mdogo bado.
 
ngoja nikiingia insta nitamtafuta nikutumie acc yake. Wallah siku ya kwanza namuona nilijua albino au mzungu toleo la mwisho mpaka nilivyoambiwa ni dawa alizochoma awe mweupe. kakondefu jamani kama katoto sura tu ndo inamuonyesha ni mtu mzima
Utanitumia my..

Sasa hapo anafanya hivyo kutafuta madanga au?

Ila sisi wanawake khaaaa [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom