Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

sasa anafanya kila kitu ila kimaisha hata watoto wadogo kina Tunda hawakamati si ajistaafie tu kwa heshima abaki kuwa mlezi wa wadangaji wadogo wadogo aachane na hayo mapunga. Hajashtuka tu hao ndio wanaomzibia nyota yake kwa kuwaendekeza
Ngoja nikwambie kipindi anakamata ( maana sasa hivi kafulia) hela za huyu dyadya zilipokuwa zinaishia

1 . Waganga wa kienyeji

2. Kutunza majukwaani ( yaan yy kummwagia mihela dansa, or mwanamuziki 3m ilikuwa ni ishu ndogo)

3.kuhonga ( kuanzia kipindi kile ana ck akawa anamuhonga Domo,na vibenten

4. Kuvaa ,( na hataki kurudia nguo, viatu, pochi na dhahabu

5. Kampani ( akizurura na genge lake yy ndo mlipa bili

Nitaendelea...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo ndipo ninaposhangaa. kuna mkaka alianza ooh bby inabidi upungue kidogo nikamwambia bby kwan wanawake wembamba wazuri si waoo wengi tu sasa mbona hukuwafuata? akakaa kimyaaaa. Nimepungua sasa hivi kwa ajili yangu wala sio mwanaume. Kwanza wenyewe hawanaga choice hawa. unajipunguza anaenda kukucheat na Asha boko akuuuu.
Mi nafanyaga kila kitu kwa ajili ya kufurahisha nafsi yangu sio hao mafisi!

Gym naenda kwa kuwa nafsi yangu imenituma hivyo na nafurahia but sio kwa ajili sijui ya nani huo mda sina...ukijipenda utapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eeeh.. nasikia analenga soko la wazungu si unajua wanapenda portable easy to carry. Kina sie tutapendwa na wanaume wetu wa Kiafrica tu wanaopenda mizigo
Analenga wazungu gani hao kwani hawamuoni sura ilivyo komaa?[emoji134][emoji134]

Sipati picha alivyojikondesha na hata hakuwa mzuri khaaa!

Si anaishi mbezi beach yule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa anafanya kila kitu ila kimaisha hata watoto wadogo kina Tunda hawakamati si ajistaafie tu kwa heshima abaki kuwa mlezi wa wadangaji wadogo wadogo aachane na hayo mapunga. Hajashtuka tu hao ndio wanaomzibia nyota yake kwa kuwaendekeza
Mdada hana akili ya maisha, km kutoka angeshatoka kitambo sana lkn sasa hv ht kistuli pmj na kukaa jela bado kinamzidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu mji una mambo huo watu badala watafute miili mizuri kwa ajili ya afya zao wanajipunguza kwa ajili ya kumpendezesha mwanaume utasikia baby hapendi nikiwa mnene au anapenda vipotabo. Badala useme nifanye mazoezi mwili wangu uwe stable na nijinyime kula ovyo ovyo
Siku baby akitaka mnene sijui atajinenepesha tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom