MO analipa 4,000Sasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Kwani Mimi nimelalamika au hujui kusoma?Hapana sina shida pesa n wala sijaja kulalamika happs
Nimefanya kazi hapo miaka kibao tu, viwanda vingi, nimesomba mazao etc sihadithiwi nafahamu analipajeWe ni kijakazi wake sio umekujaa kumtetea huyo muhindi koko
Ndiyo sasa tutamuelewa Nyerere alipokuwa anahimiza uzalendo kwenye viwanda vya ummaHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Ukitaka kuona thamani ya 4000 ni kubwa miliki biashara au kampuni?Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Mkuu hiyo vita sasa unataka uanzishe😂😂Kama utaki ach ujalazimishwa...
Kama unataka pesa kwa njia laini laini mbona zipo
Bado hujaelezea 4000 katika level gani, wana mkataba wa aina yoyote au vibarua?Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Mbona unatumia maneno machafu ya kibaguzi? Hivi wewe unadhani ndiyo una hatimiliki ya Utanzania kuliko Mo?We ni kijakazi wake sio umekujaa kumtetea huyo muhindi koko
Nyie ndio hata mkiitwa nyani na wazungu mnabaki mnachekacheka kwakua ni matajiri Sasa Mimi huo ukondoo naukataa aiwezekani watanzania wenzetu wateswe kama GABACHORI kashindwa biashara afunge kampuni kabla sijawa raisExactly! Jamaa analalamika wakati yeye mwenyewe hawezi hata kumuajiri mtu mmoja lakini analaumu anaeajiri watu tele kufanya kazi zisizo na skill yeyote ile.
Sikati kazi, au kufundisha watu kuchagua kazi. Ni uhakika unaongea usichokijua. Ni basi umasikini tu na vijana tunaumia sana sababu ya usimamizi mbovu sana wa serikali yetu.Si suala la umri hapo.Unataka kazi fanya ulipwe.Hautaki endelea kucheza karata kijiweni.
NB:Kuogopa umande ndiyo matokeo yake hayo.
Akikujibu nitagUkitaka kuona thamani ya 4000 ni kubwa miliki biashara au kampuni?
Hivi ukiajiri dada wa kazi nyimbani kwako wewe binafsi una uwezo wa kumlipa kiasi gani?
Mo Hana mchango wowote kwenye uchumi zaidi ya kunyonya wajinga kama wewe ila huwezi kujua mpaka nikiingia ikulu utajua namuagiza afunge vikampuni vyake kabla ya 2030 nikiwa ikuluMbona unatumia maneno machafu ya kibaguzi? Hivi wewe unadhani ndiyo una hatimiliki ya Utanzania kuliko Mo?
Mchango wa Mo kwenye Pato na uchumi wa Tanzania unalingana na wako wewe mkuu?
Jadili mambo kwa kuheshimu wengine na kuzuia hisia za chuki kukutawala.
Yupo kijana aliyemaliza chuo ajira zikasitishwa, aliwaomba wenzake wamtafutie tu kibarua hata kama pesa itaishia kwenye nauli ili naye awe anatoka tu hapo nyumbani anarudi jioni. Ukiwa na uthubutu na huna kitu ondoka nyumbani kalipwe 4000 kwa siku huko huko utapata akili ya kitu kingine. Labda kama umeridhika na chakula cha anko au shemeji.Si suala la umri hapo.Unataka kazi fanya ulipwe.Hautaki endelea kucheza karata kijiweni.
NB:Kuogopa umande ndiyo matokeo yake hayo.
Huyo mtoto wa mamaSikati kazi, au kufundisha watu kuchagua kazi. Ni uhakika unaongea usichokijua. Ni basi umasikini tu na vijana tunaumia sana sababu ya usimamizi mbovu sana wa serikali yetu.
Sikia mule kwenye ivyo viwanda vya vya MO na bahatesa ni JEHANAMU. Huwezi kunielewa sababu itakuwa hujawahi kubeba hata tofauli wewe.
Bahati nzuri nishawahi kupita kwenye ivyo viwanda vya baharesa na MO buguruni na extetnal..
Wewe nina uhakika wa 100% hujawahi beba hata kiroba hatuwezi ongea lugha moja. Mtoa mada yuko sahihi sana.
Buku 3 siku nzima??huku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
aMO analipa 4,000
Muuza uduvi amejiajiri, kwa siku anapa 700, sasa hapo sijui bora yupi ?
Shangaa mkuu, shule na ujuzi hawana ila wanataka malipo makubwa zaidi ya mchango wanaoutoa.MO analipa 4,000
Muuza uduvi amejiajiri, kwa siku anapa 700, sasa hapo sijui bora yupi ?
Tumuamini nani sasa?Mleta uzi kaeleza wafanyakazi wanalipwa 4000 na mchangiaji mwingine ameeleza ni 7500.Kama ni 7500,je ni malipo kidogo hayo?Sikati kazi, au kufundisha watu kuchagua kazi. Ni uhakika unaongea usichokijua. Ni basi umasikini tu na vijana tunaumia sana sababu ya usimamizi mbovu sana wa serikali yetu.