Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Muambieni huyo GABACHORI huu mchezo wake uishie 2029 akiendelea nao 2030 nikiwa ikulu anaenda kufirisika
 
Tena kuna kiwanda chake wanapata chai na lunch.
 
Watanzania Acheni Ujuaji na unafiki kwani huko maofisini mtu anayelipwa laki 2 ukipiga hesabu kwa siku n sh ngapi?
Mabaamedi wanalipwa sh ngapi kwa siku? Wauza vyakula migahawani na mahotelini mnajua wanacholipwa?
Housegirl na Houseboy? Wanaouza maduka kkoo ya Wachaga na wakinga kwa siku unajua analipwa bei gani?
Issue sio MO ni mfumo wa Nchi nzima tu watu wananyonywa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…