Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

ok tumekufaham amyyyy
Wavuvi tunatumia msemo huo kumaanisha pwani ya bara ( kwa waswahili), sio bara kule mikoani !!! Mrima = pwani ya bara ya Tanzania
NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO
1/aliruhusu mambo ambayo mtangulizi wake alizuia hususani bidhaa kutoka nje. enzi za mwalimu ilifika hatua wananchi wanapanga foleni wa kununua unga, mafuta nk yeye alipoingia akaamuru vitu hivyo viagizwe toka nje ili kupunguza foleni.'kuingiza nguo za mtumba ruksa'. hapo jina likazaliwa
2/viwanda vilikufa kabla yake hivyo hakukuwa na uzalishaji hali iliyoleta uhaba wa bidhaa za nyumbani kama nilivyotaja hapo juu na kusababisha foleni kwa vile vichache vilivyokawepo ambavyo havikutosha. baada ya kukerwa na hali hii ndipo aliporuhusu bidhaa toka nje kitu ambacho moja kwa moja ndio yalikuwa maziko ya viwanda vyetu. kwa hiyo Ruksa kazika viwanda na mwl kaviua japo mazingira ndo yalilazimisha hasa vita ya Kagera.
3/kotokana na hali aliyoikuta kwa Kiongozi yeyote lazima ngeruhusu bidhaa toka nje kwani ilifikia hatua watz hawana hata nguo za kuvaa hivyo ruksa yake ndo iliwakomboa. katika uchumi kuna import na export, ukiagiza bidhaa toka nje unahitaji (demand) utumie fedha ya kigeni ie USD kununulia na sio fedha ya ndani hivyo kitu chochote hata kama siyo fedha ukiihitaji unaiongezea thamani.(demand and supply theory).
pili vita ya Kagera ndio ilishusha fedha yetu kwani tulitumia fedha ya kigeni kununua silaha na vifaa vingine vya kivita hadi vita inaisha nchi haina hata sent ya kigeni lakini ikihitaji kwa manunuzi ya kiserikali (demand>supply=high price/value).
4/katika ruksa kulikuwepo na changamoto za kiutendaji kwani ruksa ilitoka kabla ya kujipanga hivyo kutengeneza mianya ya upigaji.
pia kulikuwa na udhaifu wa kukusanya mapato hivyo serikali haikuwa na pesa ilhali waingiza bidhaa wanazo tele, pesa mikononi mwa watz ilikuwa nyingi kuliko viwango vinavyotakiwa (supply>demand=low value/price).
inatosha kwa leo
 
Kwenye historia za kibongo kuna mahala panalukwa hivi mtu akiwa usalama wa taifa ni marufuku kutaja eeh!!?

Manake kuna mis humo katika wasifu, mwalimu wa lugha anapewaje shirika la biashara??? Mbona kama anauweledi sana katika uchumi.

Mzee Mwinyi alimkubari sana Mzee Julius na sababu alikuwa anaongea as if yeye raisi kwa huyu baba wa sasa ataki kuona wenzie wanashika mike.
 


Huyu wa picha ya mwisho ameshukaje kwenye meza na kuja hapa!! Ana uhusiano gani na andiko hili!?
 
Kivule sio kijiji kwa sasa ni mji uko Dar na ni jimbo la Ukonga...!![emoji16][emoji16][emoji16]maisha yanaenda kasi
Yaani Kisarawe ni ya muda mrefu sana sijui kwa nini haiendelei kama Kibaha na wenzake! Sasa Kivule imekuwa Dar siyo tena Pwani.
 
kumbe mwinyi amemkata age nyerere!!
nyerere 1925 mwinyi 1923
Strange! Nikidhani Ali H. Mwinyi kazaliwa 1925 (3 years younger to Mwl Nyerere who was born in 1922)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…