Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Baada ya Hussein Mwinyi kuside na Mama naona Kuna figisu linapaliliwa na CCM fulani ikishirikiana na CCM Zanzibar fulani
 
Mtazamo tu sio Fact.

Soma hapo baada ya Othman Masoud kuteulia ☝️


Soma hapo au fuatilia hiyo thread ☝️uone kwanini nilikuwa nampinga, kuteuliewa makamu.

Politics is science you know, I said it before Othman Masoud is very clever , convincing and tactical it’s a matter of time kabla ajaanza kum control Mwinyi na sasa Samia shocking with her it didn’t take time.
 
SAWA KAZALIWA KISARAWE LAKINI KAKULIAA ZANZIBAR.....MNASEMAJE HAPO?
YA ABEID KARUME MTASEMAJE NAPO?

OVA
 
Mangapwani na Dole alikopata elimu yake ya Msingi ziko wapi? kuzaliwa Kisarawe hakumuondolei Uzanzibar wake! Na si kweli kuwa alipelekwa kikazi na Mwalimu....Mangapwani na Dole zote ziko Unguja, Zanzibar!
Kukulia Zanzibar hakumfanyi kuwa ni mzanzibar, Zanzibar wameonewa sana, Karume, Jumbe, Mwinyi, Mwinyi Jr wote ni mapandikizi.
Ila nao wameregea mno ndio mana wanaendelea kunyanyaswa
 
Akili zako kama makalio ya mbuzi🐐😂😂


🐐 Mbuzibee
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 

Mkuu anachokiwakilisha Othman Masoud ni mipango ya ACT. Sio kama ni genius au clever kiasi hicho.
Hii plot ya maridhiano ilitengenezwa na maalim saif kitambo tu, sasa ni hatua za utekelezaji tu na kujaribu kupenya waweze fikia malengo yao.
 
SAWA KAZALIWA KISARAWE LAKINI KAKULIAA ZANZIBAR.....MNASEMAJE HAPO?
YA ABEID KARUME MTASEMAJE NAPO?

OVA

Kukulia Zanzibar hakumhalalishii kuwa ni Mzanzibar, na hata kama atakua ni mzanzibar wa uraia, basi kuna tofauti kati ya raia wa kuomba na mzawa. Mwinyi na Karume hawakupaswa kuwa maraisi Zanzibar. Figisu za CCM (Tanu/ASP) ndizo zilizofaikisha tu.
 
Mbona anaonekana kasoma elimu ya msingi Unguja?

Kwa mantiki hiyo pamoja na kuwa alizaliwa bara, sehemu kubwa ya maisha yake kakulia Unguja...

Labda utafute kujua asili ya wazazi wake

Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
Du kumbe mzee Rukhsa ni mwenzetu kabisa afu wazaznzibar wanajinasibu kwamba ni mtu wao? Long live mtanganyika mwenzetu.
Alizaliwa bara ila familia yake ilihamia Unguja akiwa mdogo.
 
Nyerere nahisi 1923....

Ila Mwinyi nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe kazaliwa 1925.

Mkitaka kuamini fuatilieni hotuba yake kipindi akiwa kwenye Msiba wa Mkapa kule Lupaso.
Enzi zetu shuleni kila mtoto alikuwa anajua hilo kuwa Nyerere alizaliwa mwaka 1922.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…