Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hao hawajui maswala ya snapchart, sijui ma360 sijui filter aaaahhh...ila wamenoga balaa. Natural beauty.
Ahhahahahahaha!!Farolito inatosha mkuu.Utanimalizia MBEGU zangu!
kota gadi[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaa
Mi wananishangaza..Mara mwanamke jnyoe upara...khaaSheria za kikoloni tu,watakwambia unahatarisha usalama wa nchi
Yezebeli ametotoa
HahaFarolito inatosha mkuu.Utanimalizia MBEGU zangu!
Kwa lugha ya kwetu zaidi tunaita MadawiriKwa lugha ya kiaskari zaidi naomba niseme hiviiii
"serengeti jeshini ni morale tuuuu"