Acha mipasho, andika ufahamikeMSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Yes natafuta UziKwamba walidhani huyo ndiye wewe ama...btw
You better tell the chap to be direct and to the points!Who the hell knows him in disguise!?Ila hii legeza code kidogo.
Hakyanane,naapa heee! Believe it or don't! I'm sipping it!🤣Jamani jamani,acha uongo mkuu🙌🏾
Na hutakiwi uambulie kituSijaambulia kitu kabisa
Kimpumu bado kipo mamajoni?Nipo hapa Mama John nimepewa kinywaji kama uji,kimechemshwa tunakunywa kwa mirija kutoka kwenye mtungi hakyanane!
Kimejaa kama chote.Come,karibu!Kimpumu bado kipo mamajoni?
Aaa nipo isyesye vilabuni,hapa ulanzi upo.Kimejaa kama chote.Come,karibu!
Endelea na code mkuu,angalau tuumize vichwa sababu habari unatupa bure na siku zote bure bure haina mwisho mzuri,wewe piga code ngumu ngumu tuumize vichwa ndio malipo hayo.Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !
Nataka nipitie pale Igogwe kwanza nijionee chumba walichofia wale watoto kabla sijaenda Blue nikacheze pool.Tupo pamoko mzee wangu.Aaa nipo isyesye vilabuni,hapa ulanzi upo.
Uje huku ufanye kumbukizi ya ulanzi
Nimeambulia mawili tu.MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Picha ya Musalia .Mudavadi na Wetangula kule Israel Wala hata sio Dubai. Watanzania ni Rais kudanganywaNchimbi hayupo dubai.kama ni picha soma quality ya picha ilivyotumika.
Kuna mambo mengine hata ukichunguza CCTV za hapo uwanja wa ndege ila basi wengine tubaki kimya.Ila bwana max na wewe wanataka kuua familia yako hawa UVCCM
View attachment 3699228
Sasa tutaamini vipi yupo jikoni asipoweka hizi mbwembwe?Unaandika mafumbo hapa halafu baadae Mange akifunguka jambo unakuja kujifanya ulitangulia kusema! Kinachokufanya ushindwe kueleza kinagaubaga ni nini?
Uko sahihi. Kuna kipindi alitabiri sawa watu fulani kutumbuliwa. Lakini tangu muda huo hajawahi kupatia tena chochote. Huwa anaandika kwa mtindo wa kinabii tu.Kuna muda mwingine yupo sawa
Hapa umepuyanga, zingatia MK PM(Paschal Mayalla).Na pia Kikwete amaonekana kuwatisha kwamba mkicheza na Nguvu ya Makamu alotoka mtatawala kwa shida