Hata ile barua ni fabricated, signature ilikuwa electronized.Nchimbi hayupo dubai.kama ni picha soma quality ya picha ilivyotumika.
Kuna mambo mengine hata ukichunguza CCTV za hapo uwanja wa ndege ila basi wengine tubaki kimya.Ila bwana max na wewe wanataka kuua familia yako hawa UVCCM
View attachment 3699228
Long time tulikuwa tukiigonga sana sae na kwa mwambeneKimpumu bado kipo mamajoni?
Tuambie balozi ndugu Polepole alipo..Nani mimi ! Uzuri wangu uwa si associate na yeyote Ndani ya mtandao! Hukumbuki mwaka 2018 Magufuli alikamata mtu Tofauti Airport wakidhan ndo Britanicca
Alichomwa na BUTIKU na nilimuonya sana PolepoleTuambie balozi ndugu Polepole alipo..
Kama ni kweli basi Butiku ana Damu ya Polepole mikononi mwake.Alichomwa na BUTIKU na nilimuonya sana Polepole
Una matatizo sanaMSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Hata ile barua ni fabricated, signature ilikuwa electronized.
SanaKama ni kweli basi Butiku ana Damu ya Polepole mikononi mwake.
ok.🐒MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Ila clip ya mwisho ya Polepole kabla hajatekwa aliwachana ukweli hawa 'wazee' japo hakuwataja majina kuwa wameshanunuliwa.Sana
ExactlyMie nimeelewa kuwa baada ya nchimbi ambaye alikuwa anakubalika CCM,kuna mtu mwingine ambaye CCM ilimu dump inajaribu kumuweka katika ramani ingawaje kuosheka ni ngumu.
Duuuih na wewe ulikua unajua kama upo kwa radar za wahuni kipindi icho?Nani mimi ! Uzuri wangu uwa si associate na yeyote Ndani ya mtandao! Hukumbuki mwaka 2018 Magufuli alikamata mtu Tofauti Airport wakidhan ndo Britanicca
Tulistuka mapema sanaPicha ya Dubai ni feko
Asiyelijua hili ni mgeni JF au ameanza kukufuatilia baada ya oktoba 29Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca