Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.

Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku boost si kwa kushikiriwa si kwa support. Imelala. Then mke akaanzisha chokochoko... "Sipewi unyumba, mume jongoo hapandi mtungi"

Baadaye anakuja gundua kakijana kana mwanamke mwingine. Mwanamke ambako ndo kanasema size yake na mwenye mapenzi naye. Huyu of course milage imesoma sana. Yaani ni kama ulikuwa unatumia land rover 109 sababu ndo gari ambayo ilikuwa kwenye uwezo wako.

Sasa unakuja kupata Toyota Harrier au Rav 4..... Unasemaje?unaachana na hiyo Land Rover yako 109 unachukua mchuma wa kisasa...unaoendana na maisha ya sasa.

Wanawake sisi wanaume tunarogwa kila sehemu. Mtuonee huruma jamani. Tunarogwa na wake, tunarogwa na michepuko, tunarogwa na wadada wa kazi, tunarogwa na mama ntilie,tunarogwa makazini...nguvu za kiume tutatoa wapi? Muwe na huruma jamani na sisi ni binadamu.

Sikiliza mwenyewe kwenye video husika.
Tunalogwa maofsn[emoji23]chuoni[emoji23]kila sehem, shda tupu
 
Zenji gani hiyo??

Acha kuchafuwa hali ya hewa, Zenji inahusika vipi na mada hii?
Unguja mkuu.....
Kazi ninayo fanya ya bodaboda inanikutanisha na wengi haswa jinsia hii ya kike so nazijua siri za watu na nyumba nyingi zaidi ya vile unavyofikiri mkuu..
Mwanamke ni kiumbe hatari zaidi ya ufikiroavyo.
Kuna mmoja ni muheshimiwa:Alinambia hapa Unguja mwanamke anajifunza gari na hajui nani atamnunulia na lini but ana unauhakika atadrive tuu. 😊
 
Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.

Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku boost si kwa kushikiriwa si kwa support. Imelala. Then mke akaanzisha chokochoko... "Sipewi unyumba, mume jongoo hapandi mtungi"

Baadaye anakuja gundua kakijana kana mwanamke mwingine. Mwanamke ambako ndo kanasema size yake na mwenye mapenzi naye. Huyu of course milage imesoma sana. Yaani ni kama ulikuwa unatumia land rover 109 sababu ndo gari ambayo ilikuwa kwenye uwezo wako.

Sasa unakuja kupata Toyota Harrier au Rav 4..... Unasemaje?unaachana na hiyo Land Rover yako 109 unachukua mchuma wa kisasa...unaoendana na maisha ya sasa.

Wanawake sisi wanaume jamani tunarogwa kila sehemu. Mtuonee huruma hata kwa mbali. Tunarogwa na wake zetu, tunarogwa na michepuko, tunarogwa na wadada wa kazi, tunarogwa na mama ntilie,tunarogwa makazini...nguvu za kiume tutatoa wapi? Muwe na huruma jamani na sisi ni binadamu.

Sikiliza mwenyewe kwenye video husika.
Ukenge wako ndiyo unaokurogesha. Ulitumwa ummendee dada wa kazi? Ulitumwa uwe na mchepuko?
Hebu wanaume tuache uf@lA kutaka kuonewa huruma za kijinga come on... huruma my foot!!!!!
 
Acha kulalamika. Kuoa sio lazima. Usione watu hawajaoa ukawaona wajinga au ukawasema vibaya. Ni ujinga kwa mwanaume kuweka uhai wako mikononi mwa mwanamke. Mwanamke akili yake mara nyingi ni ya kuambiwa. Wanawake huwa wanazingatia sana kuwa watu wengine wanasemaje. Hakuna mwanamke mwenye akili yake mwenyewe yeye kama yeye.
Unawekaje uhai wako mikononi mwa mwanamke?
 
Acha kulalamika. Kuoa sio lazima. Usione watu hawajaoa ukawaona wajinga au ukawasema vibaya. Ni ujinga kwa mwanaume kuweka uhai wako mikononi mwa mwanamke. Mwanamke akili yake mara nyingi ni ya kuambiwa. Wanawake huwa wanazingatia sana kuwa watu wengine wanasemaje. Hakuna mwanamke mwenye akili yake mwenyewe yeye kama yeye.
Kabisa. Nilijifunza kuheshimu mtazamo wa kila mmoja mradi havunji sheria. Wengi wa hivi ikiweml mleta mada ndiyo viongozi wa kuwanyooshea vidole wanaume wenzao wasiooa na kuwasema vibaya. Kila mmoja ale alikopeleka mboga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye nae si angetafuta "mpindulila" anauwekaa sehemuu kwa muda anaotakaaa, akishachokaaa ana utoa afu mumewee anakua tena ngangariii.

Watu hawajui jinsi ya kuroga. Lol
 
Wewe kwaio unajua kuloga?
 
Unguja mkuu.....
Kazi ninayo fanya ya bodaboda inanikutanisha na wengi haswa jinsia hii ya kike so nazijua siri za watu na nyumba nyingi zaidi ya vile unavyofikiri mkuu..
Mwanamke ni kiumbe hatari zaidi ya ufikiroavyo.
Kuna mmoja ni muheshimiwa:Alinambia hapa Unguja mwanamke anajifunza gari na hajui nani atamnunulia na lini but ana unauhakika atadrive tuu. 😊
Looooh na hili naalitazama kwa macho 4 paaa kumbe ndo zao 🤮🤮🤮🤮🤮
 
Back
Top Bottom