Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.

Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku boost si kwa kushikiriwa si kwa support. Imelala. Then mke akaanzisha chokochoko... "Sipewi unyumba, mume jongoo hapandi mtungi"

Baadaye anakuja gundua kakijana kana mwanamke mwingine. Mwanamke ambako ndo kanasema size yake na mwenye mapenzi naye. Huyu of course milage imesoma sana. Yaani ni kama ulikuwa unatumia land rover 109 sababu ndo gari ambayo ilikuwa kwenye uwezo wako.

Sasa unakuja kupata Toyota Harrier au Rav 4..... Unasemaje?unaachana na hiyo Land Rover yako 109 unachukua mchuma wa kisasa...unaoendana na maisha ya sasa.

Wanawake sisi wanaume jamani tunarogwa kila sehemu. Mtuonee huruma hata kwa mbali. Tunarogwa na wake zetu, tunarogwa na michepuko, tunarogwa na wadada wa kazi, tunarogwa na mama ntilie,tunarogwa makazini...nguvu za kiume tutatoa wapi? Muwe na huruma jamani na sisi ni binadamu.

Sikiliza mwenyewe kwenye video husika.
Tushawaambia kataa ndoa. Vilio vyote vya mwanaume kwa sasa na magonjwa na vifo 70% vinasababishwa na ndoa. Kataa ndoa. Shauri yenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cna Mr etiii.
Usinizibie ridhikiii puliiiizzzz.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mtoto wewe anakuona mr ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu nampenda kweli,sijui nifanyaje ajue[emoji87]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847] mwambiie mapema si unajua wanaume tupo wachache asije waiwa na coca oho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli wanihurumie tu mwenzao [emoji23][emoji124]

Af mnaenda sana ujue zulu ni beach boy af wakishua fulani hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Af wewe mzungu fulani mdada usie na makuu wala majivuno upo vey sex [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] au zulu aniachie
 
Af mnaenda sana ujue zulu ni beach boy af wakishua fulani hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Af wewe mzungu fulani mdada usie na makuu wala majivuno upo vey sex [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] au zulu aniachie
😳😂embu kamalizane kwanza na new lover with ex kulee....nishacomment
 
[emoji15][emoji23]embu kamalizane kwanza na new lover with ex kulee....nishacomment

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa lovery na vyenyewe una macho ya sex [emoji847][emoji847][emoji847] oh my gosh
 
Back
Top Bottom