Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ningeshangaa sanaMtu ashikwe kichwa na kadinali pengo, afu atikiswe na sumu nefaa
Huyu katibu tawala aombee mtoto pendwa apone na arudi kazini...!! Vinginevyo yatamkuta yaliyomkuta waziri mkuu wakati wa kifo cha JPM.Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3053816View attachment 3053817
yule si walisema ni matatizo ya betri sasa huyu naye ana betri?Kuombewa sio kitu, hata JPM aliombewa.
weekumbe taahila?kushikwa kichwa ndio mtuasifeNingeshangaa sana
Alishikwa kabla ya tukio hili hisiwa..!!Mtu ashikwe kichwa na kadinali pengo, afu atikiswe na sumu nefaa
Kwani PM mlimfanyaje si mlimzomea tu yakaishaHuyu katibu tawala aombee mtoto pendwa apone na arudi kazini...!! Vinginevyo yatamkuta yaliyomkuta waziri mkuu wakati wa kifo cha JPM.
Ndo atazomewa..!! Sasa ajuwe yule alikuwa waziri mkuu, lakini yeye ni katibu tawalaKwani PM mlimfanyaje si mlimzomea tu yakaisha