Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Screenshot_20231102_120808_Remix.png
 
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao

Watu waovu au majambazi ya kutisha, huwa yanajulikana sana kuliko watu wema, kwa sababu ni tishio kwa uhai wa binadamu wengine. Kila mmoja hujitahidi kumjua muuaji ili kuweza kuchukua tahadhari.
RIP Ben Sanane, Azory Gwanda.

Watu wengi wanamjua Hitler japo hawakuwahi kumwona na alishakufa siku nyingi. Lakini hawamjui kiongozi wa Ujerumani aliyefuata baada ya Hitler, aliyeijenga upya Ujerumani.

Mnyama simba, kwa sababu muuaji, ni maarufu kuliko wanyama wote wa pori.
 
Mtu ashikwe kichwa na kadinali pengo, afu atikiswe na sumu nefaa
Mitume wote waliuawa, tena na watu wenye dhambi, tena waliuawa kwa mateso makali. Petro kwa kutundikwa msalabani, kichwa chini miguu juu. Bartlumay, kwa kuchunwa ngozi yake yote. Paulo na wengine wote, waliuawa, isipokuwa Yohana. Tena hawa walikuwa, mitume, watakatifu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom