Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3053816View attachment 3053817
Hili nililisema kitambo hapa.

Juzi kapiga simu ameuliza watu wanasemaje na ameagiza watu waanze kumsafishia njia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana Mwanza.
 
Acha uhuni kima wa manjano wewe ..na zaid uwe na adabu kima wewe.
Mboni umekimbia umeogopa vitasa vya moto njoo tena ujisogeze nikupelekee moto kauchezee unapouchezeaga huu umeuvagaa vibaya utapasuka utachezea vikombe mpaka uikimbie akaunti yako Mbwa Wewe
 
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
Mbona Roma alivuma kuliko huyo?
 
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
Siyo kwamba jina ni kubwa, bali ni kwamba tunataka tusikie AMEFARIKI ili tukanywe na kula kutimoto kama tulivyokunywa tarehe 17/ 03/ 2021
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3053816View attachment 3053817
Kwa mfanyakazi wa serikali,kwani likizo hua ni mara moja kwa mwaka,huyu mwamba tangu aanze huko Arusha hata miezi 6 keshamaliza?,za kuambiwa changanya na za kwako
 
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
Unajua maana ya neno ''infamous''? Jaribu kuchukuwa dictionary kama hujui!
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3053816View attachment 3053817
Aache ujinga wake, kwani ina maana makonda hizi taarifa hazioni mtandaoni mpaka yeye aje kusema kwa niaba ya makonda?

Kwanini makonda mwenyewe asijitokeze na kusema kwamba yupo likizo?

Shame on him....!!
 
Back
Top Bottom