Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😂 😂 😆 😂 😂
Yatakuwa yanawaumbua matanzia

Anyway apumzike vema kwenye likizo yake

😆😆😆😆
 
Kuna watu ni wafukunyuku kweli kweli ,wanauliza ili mtu apate likizo si kuna kipindi flani cha mda angalau awe ametumika ili apewe hiyo likizo mbona hata hajatumika hapo Arusha haja kaa. All in all mimi binafsi ni jambo jema kusikia kwamba yupo vizuri na yupo likizo .
 
Likizo huwa ni lazima ianze baada ya muda gani?
Nimeweka neno lazima sababu huamini mtu aliyekaa muda mfupi anaweza kuchukua likizo

Bado nasisitiza mtandaoni muingie mkiwa na akili timamu, bila hivyo utageuka jalala la wenye akili. Unarushiwa Jambo unaachwa uhangaike nalo wiki nzima alafu mhusika yupo zake anakula bata mdogo mdogo huku akiwazoom
 
Back
Top Bottom